FM Manyara

Recent posts

13/02/2026, 19:52

Serikali yavutiwa na uwekezaji wa Ayaren Lifestyle Hotel

Ayaren Lifestyle Hotel iliyopo mkoani Manyara imezinduliwa rasmi leo na kuhudhuriwa na viongozi kutoka Taasisi , kampuni na maeneo mbali mbali ya mkoa wa Manyara ambao wamejionea uwekezaji mkubwa uliofanyika mkoani hapa. Na Mzidalfa Zaid Akiongea katika uzinduzi huo Meneja…

12/02/2026, 16:59

TMA Manyara yatoa mwelekeo wa mvua mwezi march –may

Mamlaka ya hali ya hewa mkoa wa Manyara imesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi march hadi mwezi mei kunatarajiwa kuwa na mvua za kiwango cha kawaida hadi wastani. Na Mzidalfa Zaid Akiongea na fm Manyara meneja wa TMA mkoa wa…

12/02/2026, 16:37

STC kupanua miradi yake  Manyara

Shirika la SO THEY CAN Tanzania limesema kwa mwaka huu wa 2026 linatarajia kupanua wigo wake kwa mkoa wa Manyara ili kufikia maeneo mengine yenye changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi huku bajeti yao ikiongezeka mwaka hadi mwaka tangu kuanza kufanya…

06/02/2026, 16:57

REA kusambaza umeme vitongoji 267 Manyara

Serikali  imeanza  utekelezaji  wa mradi  wa kusambaza umeme  katika vitongoji  267 vya mkoa wa Manyara  kwa gharama ya shilingi bilioni 45.8 kupitia wakala wa nishati vijijini (REA). Na Mzidalfa Zaid Akizungumza  wakati wa  kumtambulisha  mkandarasi, mwakilishi  wa mkurugenzi mkuu wa…

05/02/2026, 19:08

Maafisa mawasiliano Manyara watembelea miradi

Moafisa Mawasiliano wa serikali kutoka halmashauri saba za mkoa wa Manyara wametembelea kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa ya mabasi ya Babati mjini na kuvutiwa na wingi wa wanawake wanaoshiriki kazi za ujenzi kuanzia kichimba…

29/01/2026, 17:49

RC Sendiga atoa somo bima ya afya kwa wote

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Mhe.Queen Cuthbert Sendiga akiwa na wataalamu wa Idara ya Afya ametembelea maeneo mbalimbali ya Mji wa Babati kwa ajili ya kutoa elimu na hamasa kwa wananchi Kujiunga na Bima ya Afya kwa wote. Na Mzidalfa…

29/01/2026, 17:03

Maafisa usafirishaji Babati watakiwa kufuata sheria

Maafisa usafirishaji maarufu bodaboda pamoja na madereva wengine wa vyombo vya moto wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani ili watumiaji wengine wa barabara waendelee kubaki salama. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa  na mkuu wa kikosi…

29/01/2026, 16:23

RC Sendiga acharuka, azikataa takwimu na kutoa maagizo mapya

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, amepinga takwimu ya asilimia 93 ya upatikanaji wa huduma za dawa mkoani Manyara , akisema si ya kweli kutokana na wingi wa malalamiko ya wananchi, huku akizielekeza halmashauri zote za mkoa huo kuhakikisha zinafikisha elimu…

About FM Manyara

COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.

Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.

We provide and promote business through the following
ï‚· Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
ï‚· Airing spot adverts.
ï‚· Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.

COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.

VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.

MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.