Podcasts

21 September 2023, 4:58 pm

Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?

Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja. Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma.…

21 September 2023, 4:40 pm

Zaidi ya watoto elfu 86 kupata chanjo ya polio Rungwe

Halmashauri ya wilaya ya Rungwe inatarajia kuwafikia watoto zaidi ya elfu themanini na sita na kuwapatia chanjo ya polio ambayo imezinduliwa rasmi hii leo katika mikoa sita yenye hatari ya kupata ugonjwa huo hapa nchini. Na Sabina martin – RungweJamii…

20 September 2023, 3:29 pm

Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji

Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…

15 September 2023, 18:20

TAKUKURU yaokoa shilingi Milionii 2.4 za Vikoba

Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Iringa Bahati Haule akikabidhi pesa taslimu Sh. Mil 2.4 zilizoleheshwa kupitia TAKUKURU rafiki kata ya Bumilayinga wilayani Mufindi. Picha na Gift Mario Na Gift Mario Tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Wilayani Mufindi…

13 September 2023, 4:59 pm

Nini kinapelekea baadhi ya wazazi kutelekeza familia

Leo mchanyato upo Bahi kuzungumza na Jane Mgidange ambaye  ni mratibu wa Elimu jumuishi Wilaya Ya Bahi Kufahamu zaidi nini sababu za  kutelekeza familia. Na Leonard Mwacha. leo tunaangazia sababu za kutelekeza familia ambapo jamii inahusika moja kwa moja kabla…

12 September 2023, 15:23

CCM kuendelea kuisimamia serikali utekelezaji miradi

Na Kelvin Mickdady Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mufindi Ndugu. George Kavenuke amesema chama kitaendelea kuisimamia serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Kavenuke ameyasema hayo akiwa kwenye hafla ya kukabidhi majengo ya zahanati na nyumba ya mganga…