Dodoma FM
Dodoma FM
14 January 2024, 12:42 pm
Tumefanikiwa kuokoa miili ishirini na mbili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Ikinabushu kufuatia kuporomoka kwa duara wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji Na,Daniel Manyanga Watu ishirini na mbili wamefariki dunia kwa kufukiwa (kuporomokewa) na kifusi…
12 January 2024, 08:37
Licha ya kutokuwepo mafuriko katika wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma lakini mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha athali mbali mbali ikiwemo uharibifu wa miundo mbinu ya barabara, uharibifu wa mazao shambani na kuezuliwa kwa nyumba. Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na mkuu…
11 January 2024, 13:15
Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma imetembelea ofisi za Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Kigoma (KUWASA) kwa lengo la kukagua ukarabati wa ofisi baada ya kupokea fedha zilizotolewa na wizara ya maji kwa…
11 January 2024, 12:38
Na mwandishi wetu, Songwe Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe amesema kuwa kivuko cha waenda kwa miguu kinachounganisha kata ya Ivuna na Mkomba pamoja na Wilaya ya Songwe kimegharimu kiasi cha Shilingi milioni 207 kimeweza kurahisisha shughuli za…
9 January 2024, 8:10 am
Mkuu wa mkoa ametembelea baadhi ya shule ikiwemo shule mpya ya sekondari miyuji pamoja na shule ya msingi Chikoye iliyopo msalato jijini Dodoma. Na Thadei Tesha. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Rosemery Senyamule amewaagiza watendaji wa kata na mitaa…
6 January 2024, 6:02 pm
Wananchi hao wanasema kukosekana kwa daraja pia kulihatarisha hali ya usalama wao hasa kipindi cha mvua. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wametoa Shukrani kwa Serikali kwa Juhudi kubwa ya Ujenzi wa Daraja linalounganisha Kijiji cha…
6 January 2024, 4:07 pm
Senyamule amekagua ujenzi wa shule ya Sekondari ya Michese unaotekelezwa katika kata ya Mkonze eneo la Michese na kuagiza kukamilika kwa ujenzi huo ili ifikapo tarehe 08 Januari wanafunzi waweze kukaa kwenye madarasa yenye ubora. Na Seleman Kodima.Mkuu wa Mkoa…
4 January 2024, 4:28 pm
Zoezi la ukaguzi wa shule mpya jijini Dodoma zinazo tarajia kufunguliwa january 8 umeendelea ambapo mkuu wa wilaya alipata wasaa wa kutembelea shule mbili ambazo pia zimekamilika. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri ametaka mapungufu yaliyopo katika…
28 December 2023, 10:04 pm
Afisa Mtendaji wa mtaa huo ameahidi kuhakikisha hakuna mtoto anae achwa nyuma katika zoezi la uandikishaji wa darasa la kwanza na awali. Na Mariam Matundu.Kukamilika kwa ujenzi wa shule ya Msingi Jitegemee ilijengwa katika Mtaa Mbwanga kata ya Mnadani kunatarajia…
23 December 2023, 5:28 pm
Thadei Tesha amezungumza na wakazi wa eneo hilo pamoja na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA. Na Thadei Tesha. Mamlaka ya maji safi na usafi wa mzingira Jiji la dodoma DUWASA imetolea ufafanuzi baadhi ya changamoto za…