Ulinzi
29 Novemba 2023, 1:52 um
Viongozi Zanzibar watakiwa kuhamasisha ulinzi shirikishi
Jukumu la usalama wa wananchi si la Jeshi la Polisi pekee hivyo uwepo wa vikundi hivyo utasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya kihalifu katika jamii. Na Omar Hassan. Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi…
22 Novemba 2023, 6:25 mu
Msako kuanza madereva pikipiki wanaokunja namba za usajili
Changamoto ya baadhi ya madereva pikipiki kukunja namba za usajili za vyombo vyao imekuwa kubwa kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuingilia kati kwa sababu za kiusalama. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeanza…
13 Novemba 2023, 18:57
34 mbaroni kwa uharifu Mbeya
Na Hobokela Lwinga Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limewakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo utoroshaji madini, uhamiaji haramu, uvunjaji na wasambazaji wa noti bandia. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amesema wanaoshikiliwa kwa tuhuma za kutorosha…
9 Novemba 2023, 3:34 um
Watu 25 wakamatwa kwa tuhuma za ujangili Geita
Matukio ya ujangili yamekithiri kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuamua kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na hilo. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu 25 kwa tuhuma za ujangili wa misitu ikiwemo…
Novemba 7, 2023, 2:19 um
Jeshi la akiba Makete latakiwa kuimarisha ulinzi na usalama
Katika kudumisha uzalendo kwa wananchi wa Tanzania, vijana 99 wa kata ya Mfumbi wamefuzu mafunzo ya jeshi la akiba maarufu kama mgambo wilayani Makete mkoani Njombe lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi na usalama kwa jamii. Na mwandishi wetu. Mkuu wa…
5 Novemba 2023, 15:49
RC Homera acharuka, aagiza jeshi la polisi kushughulikia wavunja amani
Mazoezi ya “Show Off” yamefanyika kwa vikosi vya Jeshi la Polisi kuzunguka Jiji la Mbeya na Mji Mdogo wa Mbalizi kwa magari na kufanya doria za miguu kuonesha umahiri wa namna ya kuzuia uhalifu na kukabiliana na hali yoyote ya…
26 Oktoba 2023, 18:28
Mzee miaka 80 ukutwa na Gobole bila kibali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Na Hobokela Lwinga mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye…
14 Oktoba 2023, 9:35 mu
Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi lafanikiwa kukamata watuhumiwa 124
Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi kupitia Misako limefanikiwa kukamata watuhumiwa 124 kwa makosa mbalimbali. Na Gladness Richard – Katavi Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi kupitia Misako iliyofanyika katika kipindi cha mwezi September 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 124 kwa…
11 Oktoba 2023, 09:11
Zaidi ya watu 40 wanashikiliwa na Polisi Kigoma kwa kuhusika kwenye vurugu
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limewataka wananchi kuendelea kutoa taarifa za vitendo vya wizi na uhalifu kwenye maeneo yao. Na, Josephine Kiravu. Zaidi ya watu 40 wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Kigoma kwa tuhuma za kuhusika kwenye vurugu zilizotokea…
13 Septemba 2023, 14:04
Watu sita mbaroni matukio ya uvunjaji, wizi Kigoma
Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakituhumiwa kufanya uhalifu na wizi katika maeneo mbalimbali mkoani wa Kigoma. Na, Kadislaus Ezekiel. Jeshi la Polisi mkoani Kigoma, limethibitisha kuwakama watu sita wakituhumiwa kujihusisha na matukio ya uvunjaji na wizi…