Radio Tadio

Ulinzi

5 February 2024, 5:04 pm

Mwizi wa kuku aua, atokomea kusikojulikana

Wananchi wataka sungusungu kurudishwa ili kukabiliana na vitendo vya uharifu pamoja na wizi wa kuku unaoendelea kutokea kata ya Sungamile Wilayani Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 40 ameuawa kwa kudaiwa kuchomwa na kisu na mtu anayedaiwa…

26 January 2024, 21:45

Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi Mbeya

Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwaselela Azimio Gerald [31] Mkazi wa ZZK mji mdogo wa Mbalizi na wenzake wawili Furaha Issa [32] na Goodluck Mwakajisi [25] wote…

24 January 2024, 2:47 pm

Wanahabari Manyara wahakikishiwa usalama

Polisi Manyara kuwalinda wanahabari. Na Mzidalfa Zaid Jeshi la polisi Mkoani Manyara limesema litahakikisha waandishi wa habari mkoani hapa wanafanya kazi zao kwa usalama bila kubuguziwa na mtu yoyote ili kutimiza majuku ya kazi zao. Kauli hiyo ya jeshi ka…

16 January 2024, 14:34

Serikali kuendelea kuimarisha ulinzi kwa kutoa vitendea kazi

Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe.Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa…

25 December 2023, 9:54 am

Siha watakiwa kusheherekea sikukuu kwa amani

Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro watakiwa kusheherekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya kwa amani na utulivu. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Wilaya ya  Siha mkoani Kilimanjaro  Dkt Christopher Timbuka amesema wamejipanga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika…

29 November 2023, 1:52 pm

Viongozi Zanzibar watakiwa kuhamasisha ulinzi shirikishi

Jukumu la usalama wa wananchi si  la Jeshi la Polisi pekee hivyo  uwepo wa vikundi hivyo  utasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya kihalifu katika jamii. Na Omar Hassan. Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amewataka  wananchi…