
Siasa

4 July 2023, 2:27 pm
Wanawake mkoani Mara watakiwa kuzingatia muda kujiletea maendeleo
Na Adelinus Banenwa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapeleka wanawake viongozi kupata mafunzo nchini China.

June 26, 2023, 7:20 am
Viongozi vyama vya siasa, dini wafanya kikao kuelekea uchaguzi udiwani kata Kiny…
Viongozi wa Dini, Siasa na wazee maarufu wakiwa kwenye Kikao kuelekea uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Kinyika

June 23, 2023, 8:05 am
Uchaguzi udiwani ndani ya CCM Kinyika wafanyika
Mwangalizi wa Uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mwenye Koti Jeusi Ndg. Award Mpandila akishuhudia mchakato wa maoni ndani ya chama Kata ya Kinyika

21 June 2023, 3:16 pm
Chongolo: Watoto wasimamiwe waende shule
Chongolo amesema wakati watoto wanapokuwa mashuleni sio wakati wa viongozi kukaa ofisini badala yake wajipange na kuratibu kuhakikisha watoto wote wanajiunga na masomo na si vinginevyo. Na Bernadetha Mwakilabi. Katibu mkuu wa Chama Chama Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo amewataka…

30 May 2023, 11:05 pm
UWT Kilosa yatoa msaada mashuka ya wagonjwa kituo cha afya Kidodi
Katika juhudi za kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini , Umoja wa Wanawake Tanzania UWT wilaya ya Kilosa wametembelea kituo cha Afya Kidodi kuwafariji wagonjwa pamoja na kutoa misaada ya kijamii kama vile sabuni na mashuka…

26 May 2023, 10:26 am
CHADEMA na Katiba Mpya kabla ya uchaguzi
KATAVI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kitaendelea kusimamia misingi ya chama hicho kwa kutetea haki, uhuru, na demokrasia kwa wanachama wa chama hicho na wananchi wa taifa kwa ujumla. Akiwahutubia wanachama wa chama hicho katika uzinduzi wa…

10 April 2023, 1:37 pm
Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG waachie ngazi
Waliotajwa katika ripoti ya CAG watakiwa kuachia ngazi za madaraka walizonazo kutokana na ubadhirifu walioufanya kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. “Serikali imepata hasara kubwa kutokana na watumishi wenye nia ovu na kama Rais alishasema wapishe, kama chama cha mapinduzi…

20 March 2023, 5:02 pm
Wananchi Katavi Watoa Maoni Mseto Miaka 2 ya Dr. Samia Suluhu
MPANDA Baadhi ya wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni mseto ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Dr Samia Suluh Hassan baada ya kutimiza miaka miwili ya uongozi wake. Wakizungumza na kituo baadhi ya wananchi hao wametaja…

18 March 2023, 7:17 am
“CCM imebeba maono aliyokuwanayo Magufuli”amesema Kimanta.
KATAVIWananchi mkoani Katavi wameeleza namna wanavyo mkumbuka aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli,na kueleza pia jitihada zinazofanywa na Rais wa awamu ya sita Dk Samia suluhu Hassain . Wakizungumza na…

13 March 2023, 3:06 pm
Kamati ya bunge ya utawala yajipanga kuisimamia ofisi ya rais-utumishi
kila mmoja kwa nafasi yake kutimiza wajibu wake ili kuiwezesha kamati yake kutekeleza jukumu la kushauri na kusimamia vema utendaji kazi wa Ofisi ya Rais, Na Mariam Kasawa. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na…