Miundombinu
8 Agosti 2023, 4:46 um
Wafanyabiashara wa kokoto waomba bei elekezi
Ni muhimu kuwepo kwa upangaji na usimamizi wa bei elekezi katika shughuli mbalimbali za kibiashara, ili kuepusha migongano kati ya wafanyabiashara kutokana na kujipangia bei zao wenyewe na ushawishi binafsi kutoka kwa wateja. Na Neema Shirima. Baadhi ya Wafanyabiashara wa…
3 Agosti 2023, 3:53 um
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Magungu wafikia asilimia 85
Shule ya msingi Magungu awali ilikuwa na madarasa 2 na kusababisha wanafunzi kusoma kwa kupokezana. Na Mindi Joseph. Ujenzi wa Madarasa Mapya 9 na matundu ya vyoo 16 katika shule ya Msingi Magungu Wilayani Chemba kupitia mradi wa BOOST umefikia…
2 Agosti 2023, 1:57 um
Ujenzi bweni la wasichana Mpendo wafikia hatua za mwisho
Ujenzi huo upo hatua za mwisho na mwezi huu wa nane wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne wataanza kulitumia. Na Mindi Joseph. Ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari Mpendo kata ya Mpendo wilayani Chemba umetajwa kutatua changamoto…
31 Julai 2023, 16:22
Waziri Mbarawa atoa siku 15 kwa mkandarasi Kigoma
Na, Emmanuel Matinde Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, ametoa siku 15 kwa mkandarasi kampuni ya Sinohydro Corporation inayojenga kipande cha pili cha barabara ya Kabingo – Manyovu mkoani Kigoma kufikisha mitambo eneo la kazi ili kukamilisha ujenzi…
28 Julai 2023, 2:13 um
Billioni 12 zatarajiwa kutekeleza miradi ya barabara Bahi
Kupitia mradi huo wananchi wametakiwa kuanzisha miradi midogomidogo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Na. Bernad Magawa Zaidi ya Shilingi Billion 12 zinatarajiwa kutekeleza miradi ya barabara wilayani Bahi mwaka huu ili kuboresha miundombinu ya usafiri na kuharakisha maendeleo ya wananchi wa Bahi.…
27 Julai 2023, 5:10 um
Wananchi Buchosa walia na ubovu wa barabara
Baadhi ya barabara kongwe nchini zimeonekana kutelekezwa na serikali ili hali zilitumika katika harakati za kudai uhuru wa taifa la Tanganyika zaidi ya miaka 60 iliyo pita. Na: Katemi Lenatusi Wananchi wa vijiji vya Busekeseke na Magulukenda katika kata ya …
26 Julai 2023, 7:36 um
Mafinga wakamilisha ujenzi wa Miradi ya Boost.
Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego ameipongeza Halmashauri ya Mji Mafinga kwa Utekelezaji wa Miradi ya BOOST. Dendego ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea Shule ya Msingi Nyamalala iliyokamilisha ujenzi wa vyumba vitano(5) vya madarasa…
26 Julai 2023, 5:26 um
Ujenzi wa bweni la wasichana Mpendoo lita wanusuru na vitendo hatarishi
Ujenzi wa bweni hilo unatarajia kupunguza adha kwa wanafunzi hao katika shule hiyo kutokana wengi kutembea umbali mrefu hadi shuleni hapo hali inayohatarisha usalama wao. Na Fred Cheti. Kukamilika wa kwa ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika shule…
24 Julai 2023, 2:32 um
Walimu watakiwa kuboresha mazingira ya shule kwa kupanda miti
Na Bernad Magawa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Mheshimiwa Donald Mejitii amewaagiza walimu wa shule za msingi wilayani Bahi kuhakikisha wanaboresha mazingira ya shule mpya zilizojengwa kupitia fedha za BOOST pamoja na zile za zamani kwa kupanda miti…
20 Julai 2023, 11:49 mu
Wananchi Boma la ng’ombe wafurahia miundombinu ya barabara, zahanati
Na Hafidh Ally Wananchi wa kata ya Bomalang’ombe wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali kwa kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo barabara, zahanati na shule. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamesema kuwa kwa sasa miundombinu…