Radio Tadio

Miundombinu

21 April 2023, 2:37 pm

Serikali yajenga nyumba bora za walimu Bahi

Katika hatua nyingine kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ilibaini Mapungufu katika ujenzi wa vyumba viwili vya Maabara shule ya sekondari Chonama. Na. Bernad Magwa. Walimu wa shule za msingi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kuwajengea nyumba bora za makazi…

19 April 2023, 12:23 pm

CCM Bahi yataka ujenzi wa stendi ya mabasi uchunguzwe

Suala la changamoto ya stendi mpya ya mabasi wilayani Bahi limekuwa likilalamikiwa na wananchi kwa muda mrefu kutokana na changamoto zilizopo eneo la stendi lakini adha kubwa ikiwa ni ongezeko la nauli mara mbili kutoka Bahi mpaka Dodoma mjini. Na…

18 April 2023, 9:40 pm

Walimu Mlele Wahakikishiwa Mazingira Rafiki

MLELE Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga amewahakikisha Walimu mazingira rafiki ya uendaji kazi wakati wa utekelezaji wa majukumu yao waliyopewa na serikali. Mwanga ametoa kauli hiyo wakati akifungua kikao cha Wadau wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Mlele…

14 April 2023, 1:59 pm

RAS Dodoma aridhishwa na utekelezaji wa Miradi Bahi.

Gugu ameeleza kuridhishwa kwa kiasi kikubwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kutoa pongezi kwa uongozi wa halmashauri. Na Bernad Magawa. Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma Ally Gugu ameeleza kufurahishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Bahi huku…

11 April 2023, 3:57 pm

Wafugaji Bahi watakiwa kuheshimu miundombinu ya barabara

Mifugo inapopitishwa kwenye barabara inaharibu miundombinu ya barabara na kusababisha hasara kubwa kwa serikali pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika. Na Bernad Magawa. Wito umetolewa kwa wafugaji na wafanyabiashara wa mifugo wilayani Bahi kulinda na kuheshimu miundombinu ya barabara…

10 April 2023, 4:54 pm

Wananchi Kayenze Walia na TARURA

KATAVI Wananchi wa Kayenze Kata ya Katuma Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wamewaomba Wakala wa barabara Vijijini TARURA kurekebisha Barabara ya Sibwesa Katuma inayopita katika eneo lao. Wameiambia Mpanda Radio kuwa wanapata adha ya usafiri na kushindwa kufanya baadhi ya…

5 April 2023, 3:00 pm

Chinuguli waomba kuongezewa nguzo za umeme

Wamesema hali hiyo  inatokana na idadi ndogo ya nguzo zilizopo katika kijiji hicho ambazo zimeelekezwa katika Taasisi mbalimbali. Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongezea idadi ya nguzo za nishati ya umeme ili…