Mazingira
7 June 2023, 10:15 am
Marufuku kufyatua tofali Bonde Mto Misunkumilo
MPANDA. Kufuatia katazo la kufanya shughuli za ufyatuaji tofali katika eneo la bonde la mto Misunkumilo mtaa wa Mpanda Hotel serikali ya kata imepiga marufuku shughuli hizo. Akizungumza na Mpanda Radio Fm afisa mtendaji wa kata hiyo Carolina Medadi Yohana…
7 June 2023, 10:09 am
DC Kilombero: Zingatia matumizi sahihi uhifadhi mazingira
“Nawaagiza wananchi wa kijiji cha Chiwachiwa pamoja na viongozi kutunza na kuhakikisha miti 500 iliyopandwa katika shule ya msingi Chiwachiwa inakua”. Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya Na; Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa katika kijiji cha Chiwachiwa halmashauri ya…
5 June 2023, 7:11 pm
Dkt. Mpango ahimiza wananchi kuendelea kupiga vita matumizi mifuko ya plastiki
Juni 5 ya kila mwaka ni siku ya mazingira duniani, sikuu hii inaadhimishwa kuhusu umuhimu wa mazingira kwa maisha ya binadamu. Na Fred Cheti Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watanzania…
4 June 2023, 4:39 pm
Sweden yatoa shilingi bilioni 10 utunzaji mazingira
Mradi wa SUSTAIN –ECO utasaidia kuhamasisha shughuli za maendeleo ambazo ni rafiki kwa mazingira ikiwa ni pamoja na kilimo cha kakao, miwa, mpunga, kilimo cha miti na shughuli zingine zinazoendeleza uhifadhi Na Katalina Liombechi Mradi wa SUSTAIN-ECO unakwenda kutatua changamoto…
9 May 2023, 3:11 pm
NEMC yatoa mrejesho juu ya kufungia sehemu zenye kelele chafuzi
Mnamo tarehe Moja Mei mwaka huu baraza hilo la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa Mazingira (NEMC) lilitangaza kuanza opresheni ya kukamata na kufungia maeneo ya kumbi za strehe,nyumba za ibada pamoja na maeneo mengine yanayosababisha mitetemo na kelele kinyume…
5 May 2023, 2:45 pm
Wawekezaji watakiwa kufanya tahmini ya athari za mazingira
Na Fred Cheti. Baraza la Usimamizi na uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limewataka wawekezaji wote wa miradi ya maendeleo nchini kufanya tathimini ya athari kwa mazingira katika miradi yao ili kuepusha migogoro itakayotokana na uchafuzi wa mazingira. Hayo yameelezwa na Bwn.…
3 May 2023, 1:59 pm
Wananchi Ng’ambi watakiwa kutunza mazingira
Amesema mazingira yakitunzwa vema yanaweza kutengeneza fursa mbalimbali kwa wananchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Mhe. Sophia Kizigo amewataka wananchi wa kijiji cha Ng’hambi wilaya humo kuwa mabalozi wa utunzaji wa mazingira illi kutengeneza fursa nyingi za…
2 May 2023, 3:49 pm
Wakazi wa Msalato waomba mazingira ya mnada kuboreshwa
Mnada wa nyama msalato ni miongoni ma maeneo maarufu ya asili ambapo wananchi hufika kwa ajili ya kujipatia nyama choma . Na Thadei Tesha. Wakazi wa Msalato Jijini Dodoma wameiomba serikali kuboresha mazingira ya eneo la mnada wa msalato ambao…
2 May 2023, 1:23 pm
Wafanyabiashara watakiwa kutunza mazingira
Mifuko ya plastiki ilipigwa marufuku kutumika hapa chini hii ni kutokana na wataalamu mbalimbali wa maingira kubainisha kuwa matumizi ya mifuko hiyo huongoza katika suala la uchafuzi wa mazingira. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa…
27 April 2023, 11:44 pm
mafuriko ya haribu miundombinu ya barabara na makazi ya watu Ifakara
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Wilayani Kilombero Mkoani Morogoro zimesababisha mafuriko na athari katika baadhi ya maeneo ikiwemo kitongoji cha Kwa shungu, kata ya Mbasa na Lumemo kata ya Lumemo halmashauri ya mji wa Ifakara. Na; Isidory Mtunda Kata sita za…