Radio Tadio

Maji

26 April 2023, 5:11 pm

Mlowa Bwawani walalamika ujenzi wa Tanki kutokamilika

Mradi huo ulitarajiwa kukamilika ndani ya Mwezi mmoja baada ya kutambulisha october 30 2022 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea kutokana na changamoto mbalimbali. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji Cha Mlowa Bwawani Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wamelalamikia kutokukamilika kwa…

22 April 2023, 9:33 am

Ukosefu wa Maji Safi na Salama, Kilio Itenka

KATAVI Kufuatia changamoto ya magonjwa ya Tumbo na minyoo jamii imetakiwa kuzingatia kanuni za afya ili kuondokana na magonjwa hayo kwa baadhi ya wakazi wa Itenka Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi. Hayo yamejiri mara baada ya wakazi wa Intenka halmashauri…

12 April 2023, 6:35 pm

Wananchi wengi hawafahamu gharama za maji kwa lita

Tayari DUWASA imeomba marekebisho ya bei za maji hadi mwaka 2026 ili kukidhi marekebisho ya miundombinu ya maji. Na Mindi Joseph. Kwa Mujibu wa ufuatiliaji uliofanywa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Nishati na Maji Ewura CCC…

12 April 2023, 4:46 pm

Ibihwa watarajia kuondokana na adha ya maji

Mradi wa maji kata ya Ibihwa unatekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia RUWASA wilaya ya Bahi na kusimamiwa na kampuni ya Prest Water and Civil works. Na Bernad Magawa Mradi mkubwa wa maji unaojengwa katika kijiji cha Ibihwa unatajiwa kuanza…

10 April 2023, 12:53 pm

Kukatika kwa Umeme kunaathiri upatikanaji wa maji Kongwa

Duwasa imeendelea kuhimiza utunzaji wa miundombinu ya maji safi iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudumu kwa muda mrefu. Na Miandi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira  Dodoma (DUWASA) imesema kukatika mara kwa mara kwa huduka ya umeme…

4 April 2023, 5:49 am

Wananchi Kayenze Walia Ucheleweshwaji wa Mradi wa Maji

KATAVI Wananchi wa Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi wameiomba serikali kumhimiza mkandarasi anayejenga mradi wa maji kukamilisha mradi kwa wakati. Wananchi Kwa nyakati Tofauti wameiambia Mpanda radio kuwa kumekuwa na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi…