Radio Tadio

Maji

9 Juni 2023, 12:44 um

Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…

7 Juni 2023, 5:06 um

Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati

Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…

7 Juni 2023, 10:28 mu

Dirifu walia ukosefu huduma ya maji

MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamezitaka mamlaka za maji kupitia serikali ya mkoa kutatua changamoto ya maji ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa kipindi kirefu. Hayo yamewasilishwa na afisa mtendaji wa kijiji hicho…

7 Juni 2023, 10:19 mu

Katavi: Agizo la RC upatikanaji maji soko la matunda lapuuzwa

MPANDA Ikiwa saa 24 zimepita baada ya agizo la kupatikana maji Soko la Matunda lililopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wafanyabiashara wameomba uongozi wa mkoa kufuatilia kwa kina upatikanaji wa maji sokoni hapo. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio…

2 Juni 2023, 1:21 um

Wakazi kata Ntyuka kuondokana na adha ya maji

Na Selemani Kodima. Wakazi  4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere   kata ya Ntyuka  jijini Dodoma wanatarajiwa  kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa  maji safi na salama  baada ya uzinduzi wa mradi wa maji  wa Ntyuka Chimalaa kukamilika  .…

1 Juni 2023, 5:38 um

Mradi uchimbaji visima vya maji kunufaisha wakazi Nzuguni

Mradi huo wenye mikataba minne una thamani ya sh. Bilioni 4.8. Na Mindi Joseph. Wakazi 37,929 katika kata ya Nzuguni mkoani Dodoma wanatarajia kunufaika na utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji  unaotarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu.…

29 Mei 2023, 8:09 um

Wananchi Bahi Makulu kupelekewa huduma ya maji

Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji safi katika kijiji cha Bahi Makulu ili kuwaondolea adha wananchi kutokana na kutokuwepo kwa huduma hiyo kijijini hapo. Nollo ameyasema hayo Mei 28, 2023…