Radio Tadio

Maji

8 Novemba 2023, 17:53

RUWASA yatatua kero ya maji Buhigwe

Wizara ya Maji Kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamefanikiwa kufikia asilimia 72.2 ya usambazaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi, na kupunguza kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa…

8 Novemba 2023, 3:07 um

RUWASA kuja na mfumo wa kudhibiti upotevu wa mapato

Baraza la madiwani Nsimbo Mkoa wa Katavi waishauri Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini [RUWASA]  kuthibiti Mapato. Na Betord Chove-Nsimbo Baraza la madiwani katika halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi wameishauri Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira…

7 Novemba 2023, 13:50

UWSA kula sahani moja na watumishi waomba rushwa

Na Samweli Ndoni Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jiji la Mbeya (Mbeya-UWSA) umetangaza kula sahani moja na watendaji wazembe ikiwemo wale wanaojihusisha na vitendo vya kuwaomba rushwa wateja ili wawape huduma. Hatua hiyo imetangazwa na…

2 Novemba 2023, 5:42 um

Shida ya maji, fisi vyawatesa wakazi kijiji cha Lubando

Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama, tishio la fisi vijijini katika wilaya ya Nyang’hwale umeendelea kuwapa changamoto wananchi wanaoishi maeneo hayo ambao huchangia maji na mifugo huku wakitembea umbali wa kilomita 20 kufuata maji. Na Mrisho Sadick –…

2 Novemba 2023, 11:51 mu

Mkuu wa wilaya Kongwa awabana watendaji wa maji Mtanana

Hivi karibuni kikao hicho kilifanyika katika kata ya mtanana hii ni baada ya  kubaini uwepo wa harufu ya Ubadhilifu wa Mapato yanayokusanywa kupitia Miradi ya Maji katika Kata hiyo hali iliyopelekea kushamiri kwa matumizi ya fedha mbichi. Na Mariam Kasawa.…

16 Oktoba 2023, 6:44 um

Wakazi wa Handali walalamika kukosa maji safi na salama

Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika  kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…