Maendeleo
31 January 2024, 08:51
Wanawake, vijana kunufaika na mikopo kwa wakati
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameziagiza halmashauri zote nchini kuharakisha mchakato wa upatikanaji fedha za maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuchochea uchumi kwa jamii na taifa. Kadislaus…
30 January 2024, 17:38
Kamati zote zijengewe uwezo usimamizi miradi
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga ameagiza kamati zote za ujenzi zinazosimamamia Miradi mbalimbali ya Ujenzi wilayani Chunya zijengewe uwezo wa kusimamia miradi husika ili watakapokiuka maelekezo waweze kuchukuliwa hatua…
26 January 2024, 10:53 am
Wananchi Mikumi wamshuru SSH kwa mradi wa Regrow
Na Mwandishi wetu. Wakazi waishio pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa Mikumi wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanafanikiwa kubadilisha maisha yao kiuchumi kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza…
23 January 2024, 17:28
CCM Songwe yawapongeza viongozi wa serikali kwa utekelezaji wa miradi ya maendel…
Na mwandishi wetu, Songwe Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe imewapongeza viongozi wa Serikali Ngazi ya Mkoa na Halmashauri, Chama na taasisi za Serikali na ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Songwe kwa usimamizi na…
12 January 2024, 18:02
Tengeni maeneo ya kujenga miundombinu ya maendeleo kwenye maeneo yenu
Na mwandishi wetu,Chunya Kamati ya fedha, Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya ikiongozwa na Makamu mwenyekiyi wa Halmashauri imeagiza viongzoi wa vijiji na kata zote kutenga maeneo ya kujenga miundombinu ya maendeleo katika vijiji na kata zao…
11 January 2024, 18:09
Mwangasa:Vijana shikamaneni acheni makundi
Katika kuiimarisha jumuiya ya vijana Uvccm hapa wilayani Kyela mjumbe wa mkutano mkuu mkoa wa mbeya Sarah Mwangasa amewataka vijana wilayani hapa kuachana makundi ili kukijenga jumuiya imara. Na Nsangatii Mwakipesile Mjumbe wa UWT mkoa kutoka wilayani Kyela Sarah Mwangasa…
11 January 2024, 12:22
Mapato ya ndani yanavyowapa tabasamu wananchi Rungwe
Na mwandishi wetu, Songwe Furaha ya wakazi wa kata ya Kinyala ipo Mbioni kukamilika baada ya Halmashauri kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya kwa kutumia mapato yake ya ndani kwa gharama ya zaidi ya shilingi million 201. Jumla ya majengo…
8 January 2024, 15:47
Kyela waunda Chamata
Wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na jukumu la kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania, wadau mbalimbali wa maendeleo hapa wilayani Kyela wameunda umoja wao unaotambulika kwa jina la Chamata Tanzania ukiwa na lengo la…
6 January 2024, 00:54
Mbeya yatia saini mikataba ya upimaji na PEPMIS
Na Hobokela Lwinga Zoezi la Utiaji Saini wa Mikataba ya Mfumo MPYA wa Upimaji wa Utendaji Kazi wa Watumishi(PEPMIS) katika Mkoa wa Mbeya limefanyika ambapo limemhusisha Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa…
5 January 2024, 09:39
Viongozi wa kata, vijiji watakiwa kujadili vipaumbele na wananchi Buhigwe
Viongozi wa vijiji na kata wilayani Buhigwe mkoani Kigoma wametakiwa kuitisha mikutano na wananchi ili kujadili vipaumbele vya miradi ya maendeleo inayotakiwa kujengwa katika maeneo yao. Na, Michael Mpunije Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Buhigwe…