Radio Tadio

Jamii

13 Julai 2023, 10:10 mu

Afunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja

MPANDA Athumani Juma Mohamed Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. Akizungumzia ndoa yake Yengayenga…

4 Julai 2023, 19:28

Mitaala mipya ni chachu ya vijana kujiajiri

Serikali ilitoa fursa kwa wananchi kutoa maoni yao juu ya maboresho ya rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na rasimu ya Mitaala ya elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu. Na Aisha Shaban.…

4 Julai 2023, 2:28 um

Aoza pua baada ya kupondwa na kokoto

Na Amos Inega Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha…

28 Juni 2023, 14:30

Jamii inaamini nini kuhusu waraibu wa dawa za kulevya?

Maadhimisho ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya yalifanyika kitaifa mkoani Arusha Juni 25 mwaka huu. Na Respishas Lopa. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameonesha utayari wao wa kuwapokea waraibu wa dawa za kulevya na kushirikiana nao katika…

27 Juni 2023, 16:25

Polisi Iringa wakabidhiwa pikipiki za kisasa 10

Na Adelphina Kutika. Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limepokea msaada wa pikipiki 10 za kisasa zenye thamani ya shilingi milioni 55 na uzinduzi wa jengo la kantini yenye thamani ya shilingi milioni 45 kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo…