Radio Tadio

Jamii

2 Agosti 2023, 01:11

Wakimbizi waishio kambi ya Nyarugusu wagoma kurudi kwao Burundi

Serikali nchini Tanzania imesema itaendelea kuhamasisha wakimbizi waliopo katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu kurudi nchini Burundi kutokana na amani iliyopo kwa sasa. Wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma nchini Tanzania wameiomba serikali ya Burundi kutatua matatizo ya…

31 Julai 2023, 6:33 um

Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Jamii imeendelea kusisitizwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu wowote bali iwaweke wazi ili waweze kupatiwa mahitaji ya msingi ikiwemo elimu. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na…

26 Julai 2023, 5:50 um

Wanachama wa Yanga Mpanda Wafanya Matendo ya Huruma

KATAVI Baadhi ya wanachama na mashabiki wa klabu ya Yanga Mkoa wa Katavi wamefanya matendo ya huruma katika kilele cha wiki ya wananchi kwa kuchangia damu na kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima. Wakizungumza na Mpanda radio Fm…

20 Julai 2023, 11:05 mu

Mkuu wa mkoa Geita akagua miradi ya mwenge Mbogwe

Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita yajipanga kuupokea mwenge wa uhuru kwa kuanza ukaguzi katika miradi yote itakayopitiwa. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigela ameiongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa, Kamati ya Ulinzi na Usalama…

13 Julai 2023, 10:10 mu

Afunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja

MPANDA Athumani Juma Mohamed Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. Akizungumzia ndoa yake Yengayenga…