Habari za Jumla
25 Febuari 2024, 6:29 um
Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70
Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu imefanikiwa kuokoa fedha zaidi ya shilingi milioni sabini zilizotaka kufanyiwa ubadhirifu katika Chuo cha Maafisa Tabibu wilayani Maswa. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani …
25 Febuari 2024, 6:14 um
CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia kwa kishindo uchaguzi serikali za mita…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa kimejipanga kuingia kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2024. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Simiyu Musa …
25 Febuari 2024, 8:46 mu
DC Ngorongoro na ziara ya kwanza
Miradi mingi ya maendeleo wilayani Ngorongoro inayotekelezwa kupitia ufadhili wa benki ya maendeleo ya Ujerumani (KFW) imegusa karibu kila sekta muhimu ikiwepo Afya,barabara pamoja na sekta ya elimu. Na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Kanal. Wilson Sakulo leo…
23 Febuari 2024, 6:43 um
Wanawake Kilosa watakiwa kuchangamkia fursa za uongozi
Uchaguzi wa serikali za mitaa\vitongoji na vijiji utakafanyika mwaka huu 2024 ili kuchagua viongozi katika nafasi hizo ambazo zitawapa fursa ya kwenda kuwaongoza wananchi katika kuwaletea maendeleo kwa kuzingatia sheria na miongozo. Na Asha Madohola Wanawake wametakiwa kuchangamkia fursa kipindi…
23 Febuari 2024, 16:03
KUWASA yabaini michezo michafu kwenye mita za maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji KUWASA imekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya maji kwa kukata mabomba ya maji na wengine kuiba mita za maji. Na, Lucas Hoha Akizungumza na Joy…
23 Febuari 2024, 15:37
Wananchi waipongeza serikali maboresho huduma za afya Kasulu
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusogeza huduma za afya karibu na wananchi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa kuongeza idadi ya zahanati, vituo vya Alafya na kuboresha hospital ya wilaya ya Kasulu Mlimani kuhakikisha jamii inapata…
23 Febuari 2024, 12:16
Wananchi watakiwa kushiriki mapambano dhidi ya malaria Kibondo
Wananchi wilayani Kibondo mkoani Kigoma kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria ambao umekuwa ukisababisha vifo kwenye jamii. Na, James Jovin. Shirika lisilo la kiserikali SADERA kwa kushirikiana na serikali limefanya ziara katika vijiji kumi wilayani Kibondo mkoani…
22 Febuari 2024, 20:48
Wananchi Tunduma wasisitizwa ulinzi shirikishi kulinda amani
Na Mwandishi wetu Songwe Wananchi wa Kata ya Mwakakati Mjini Tundu ma Mkoani Songwe wam etakiwa kuendeleza ushir ikiano na Jeshi la Polisi katika kuhimarisha vikun di vya ulinzi shirikishi ili kuweka maeneo yao salama. Rai hiyo ilitolewa Febr uari…
22 Febuari 2024, 20:42
Homera aongoza kikao kamati ya ushauri mkoa wa Mbeya
Na Mwandishi wetu Leo February 22, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z Homera ameongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya(RCC) kilicholenga kujadili, kushauri na Kutoa Mapendekezo juu ya Namna bora ya kutatua baadhi ya…
22 Febuari 2024, 17:35
Bodaboda Mbeya wagoma, wavamia ofisi za jiji
Na Ezra Mwilwa Umoja wa madereva bodaboda mkoa wa Mbeya wamefanya maandamano katika ofisi za jiji kuomba kusikilizwa kero zao ikiwepo kukamatwa na kutozwa faini wawapo barabarani. Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Aliko Fuanda amesema wamekuwa wakikamatwa pindi wanapoingia soko…