Radio Tadio

Habari za Jumla

January 7, 2023, 8:32 pm

Mwanafunzi hata kama hana Sare aanze Masomo-dc Mhe. Sweda

  Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amekagua vyumba vya madarasa kwa shule za Sekondari ambavyo wanafunzi wataripoti na kuanza masomo Januari 9, 2023. Mhe. Sweda amesema Serikali imehakikisha wanafunzi wanapata Mazingira rafiki ya kujifunzia na hivyo mpaka…

January 7, 2023, 7:19 pm

Serikali kutafuta namna ya Kumkopesha Mwananchi Simu Janja

  Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhe.Nape Nnauye ( Mb ) amesema serikali iko mbioni kutafuta namna ya kumuwezesha mtanzania wa kawaida kumudu gharama ya kununua simu janja. Amebainisha hayo wakati akizindua mnara wa simu katika Kijiji cha Kinenulo…

January 6, 2023, 11:40 am

Watoto wote waende Shule-Rc Mtaka

  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amewataka wazazi/walezi wenye watoto waliofikia umri wa kuanza darasa la kwanza kuwapeleka shule ifikapo tarehe 9, Januari 2023. Akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe kwenye Baraza la 7 la wafanyabiashara…

January 4, 2023, 9:31 am

Daraja lasombwa na Maji Mwakauta-Makete

  Daraja la Mbao lililokuwa likitumiwa na watembea kwa miguu wanaovuka kutoka Kijiji cha Mwakauta kwenda kupata huduma za Afya Hospitali ya Bulongwa limesombwa na Maji baada ya mvua kubwa kunyesha siku kadhaa zilizopita. Ni siku 5 zimepita wananchi wa…