Habari za Jumla
13 October 2023, 5:17 pm
Wanafunzi tisa wakumbwa na kamata kamata utoro sugu katika kijiji cha Kimang’…
“Tumeanza na Wanafunzi wa Shule za Msingi kwasasa tatizo hilo limepungutunajipanga kukabiliana na tatizo la utoro kwa wanafunzi wa sekondari” Diwani kata ya Kimang’a Mheshimiwa SALIMU MWANDARO Na Saa Zumo Wanafunzi tisa wanaosoma elimu ya Sekondari katika Kijiji cha Kimang’a…
11 October 2023, 16:34
Nyimbo za chadema zakwamisha mkutano wa Mwabukusi, aitwa na jeshi la polisi Mbey…
Kila nchi ina utaratibu wake katika kujiongoza, Tanzania ni moja ya nchi inayoongozwa kwa mujibu sheria kupitia katiba ya nchi na katika hali hiyo hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria hivyo kila mtu anapaswa kutii na kuheshimu uwepo wa…
October 11, 2023, 4:24 pm
Dc Ileje awapiga marufuku vijana kufanya mapenzi na wazee wao
Na Denis Sinkonde, Songwe Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapiga marufuku wanawake watu wazima kujihusisha na mapenzi na vijana wa kiume wenye umri mdogo. Mgomi amesema hayo wakati wa mkutano wa kijiji Oktoba 10 mwaka…
8 October 2023, 07:17
Wasichana 700 shule ya sekondari Kayuki wapewa taulo za kike
Jukumu la malezi ni la kila mtu, katika kuwezesha mabinti ili kupata elimu kwenye mazingira bora huna budi kuhakikisha mabinti hao wanafunzi wanawekwa kwenye mazingira mzuri kila wakati. Na mwandishi wetu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya ambaye pia…
October 3, 2023, 6:01 am
DC Ileje aagiza machifu wapewe ushirikiano
Na Denis Sinkonde Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali wilayani humo kutoa ushirikiano na machifu kukemea matukio ya uvunjifu wa amani na uharibifu wa mazingira. Mgomi amesema hayo Oktoba 2,2023 ikiwa ni siku…
29 September 2023, 4:37 pm
Dkt. Khalidi: Tusichafue bahari kwani asilimia 50 ya oxygen inatoka huko
Wananchi waache kuchafua mazingira ya bahari ili ibaki katika haiba yake na kuwalinda viumbe hai wanaopatikana ndani yake. Na fatma Rashid. Waziri wa Ujenzi, Mawasoliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt. Khalid Salim Ali ameitaka jamii kuacha tabia ya kutupa taka ovyo…
29 September 2023, 12:34 pm
TBA yaupiga mwingi mradi wa majengo mkoa wa Geita
Na Zubeda Handrish- GeitaWakala wa majengo Tanzania (TBA) kupitia kwa Meneja wa TBA mkoa wa Geita Mhandisi Gladys Jefta Septemba 28,2023 amesema awamu ya kwanza (phase one) ya ujenzi wa majengo saba ya serikali katika Mkoa wa Geita imekamilika ambapo…
27 September 2023, 11:15 pm
Wanawake someni sayansi mkaongoze meli Pemba
Kutokana kwa uwepo wa wanawake wachache kwenye sekta ya bahari hasa kuwa mabaharia ndio asasi mbali mbali kuungana kuhamasisha maskuli ili wasome masomo ya sayansi wawepo kwenye sekta hiyo. Na Fatma Rashid Wanafunzi kisiwani Pemba wametakiwa kizingatia masomo ya sayansi…
27 September 2023, 2:34 pm
Serikali yaombwa kuendelea kutoa elimu juu ya kukabiliana na majanga
Wataalam wamekuwa wakishauri wafanyabiashara, wananchi kufundishwa kukabiliana na majanga ya moto ikiwemo Kuepuka makazi holela, kuhimiza miundombinu ya kisasa pamoja utekelezaji wa sheria upewe kipaumbele. Katende Kandole. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii…
22 September 2023, 5:45 pm
Vyombo vya habari Kagera kuchochea miradi ya maendeleo
Mradi wa bomba la mafuta ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa na serikali unaohusisha nchi mbili kwa maana ya Tanzania na Uganda hivyo waandishi wa habari hawana budi kueleza wananchi habari sahihi na kwa wakati juu ya mwenendo wa…