Radio Tadio

Habari za Jumla

8 February 2024, 3:31 pm

Madiwani waonywa Rungwe

Wanasiasa wametakiwa kuwa msitari wa mbele kuwahamasisha wananchi katika shughuli za kimaendeleo ili kuimarisha uchumi wa mmojammoja na Taifa kwa ujumla. RUNGWE-MBEYA Na Lennox MwamakulaMkuu wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu amewataka wafanyabiashara kutopanga bidhaa zao kando ya…

7 February 2024, 15:23

Wafanyabiashara Kasulu wahimizwa kutunza mazingira

Wafanyabiashara na wajasiriamali katika halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na vitunzia taka katika maeneo yao kwa ajili ya kuhifadhi uchafu.  Na, Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu anasimulia zaidi

7 February 2024, 14:32

Halmashauri ya Kibondo kujenga jengo la ghorofa 3

Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imetenga shilingi bilioni 2.5 ili kujenga jengo jipya la vijana community center ikiwa ni mikakati ya kuchochea na kukuza uchumi wa halmashauri na jamii kwa ujumla  Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na diwani…

6 February 2024, 11:17

Akutwa na nyaraka za serikali na meno ya trmbo Songwe

Na mwandishi wetu, Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kuimalisha ulinzi na usalama kwa kuishirikisha jamii katika kubaini, kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kufanya doria, misako na operesheni ambapo limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa 01 kwa tuhuma za kupatikana na…