Radio Tadio

Habari za Jumla

14 February 2024, 11:47

Watoto 61,545 kupatiwa chanjo ya surua rubella Kibondo

Watoto kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubela ikiwa ni mkakati wa serikali wa kuhakikisha wanadhibiti ugonjwa huo kwa watoto nchini. Na James Jovin Wizara ya afya imelenga kutoa chanjo ya Surua Rubella kwa watoto wapatao 61,545 wenye umri chini…

13 February 2024, 14:41

Serikali kuendelea na utafiti wa maji ardhini

Na mwandishi wetu, Dodoma Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali inaendelea na zoezi la utafiti wa maji ardhini pamoja na uchimbaji wa visima 13 katika Jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema. Mahundi ameyasema hayo leo Februari 13 2024,…

13 February 2024, 11:36

Makala: Redio inavyomkomboa mwananchi Kigoma

Katika kuangazia siku ya redio duniani wananchi na wadau mbalimbali wamehusika katika kuzungumzia umuhimu wa redio katika jamii. Ikumbukwe kuwa kauli mbiu mwaka 2024 ni ”Redio: Karne ya kufahamisha, kuburudisha na kuelimisha” ”Inaangazia mambo mengi ya zamani, yanayofaa ya sasa…

13 February 2024, 08:38

Jeshi la polisi Mbeya latakiwa kufanya kazi kwa weledi

Na Hobokela Lwinga Jeshi la polisi mkoani Mbeya wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kumtanguliza Mungu ili kufikia malengo ya jeshi na taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi SACP Robert Mkisi amewaasa alipotembelea Mkoa…

February 13, 2024, 8:06 am

DED Makete akutana na wadau wa elimu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Makete William Makufwe Amewataka wadau wa Elimu ikiwemo walimu maafisa elimu kusimamia kikamilifu taaluma katika wilaya ya Makete ili kuinua kiwango cha taaluma Makete. Na Lulu Mbwaga Mkurugenzi Mtendaji halmashaur ya Wilaya Makete Ndg…

12 February 2024, 15:12

Maji ya mito yatajwa chanzo kikuu cha magonjwa ya mlipuko

Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia usafi wa mazingira ili kujilinda na magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakiwakumba baadhi ya wakazi wa mkoa huu katika baadhi ya maeneo ikiwemo kibirizi, Kalalangabo na Gungu lakini na wilaya ya Uvinza ambapo watu 74…

12 February 2024, 11:22

Mradi wa LTIP watatua mgogoro wa mpaka wa Songwe na Mbeya

Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Songwe CPA Cecilia Kavishe amesema Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umetatua migogoro ya kimipaka katika halmashauri hiyo hatua inayowasidia wananchi kuendelea na shughuli za uzalishaji mali kwa…