Habari za Jumla
25 May 2024, 11:26 pm
ALAT yaipongeza Ngorongoro
Mbali na fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Ngorongoro kutoa serikalini pia kumekuwa na wadau wanaotoa fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kushirikiana na halmashauri, wadau hao nikama vile KWF,TANAPA na wengineo. Na Zacharia James Jumuia ya…
19 May 2024, 17:51
ACT wazalendo Zanzibar wajipanga kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Na Mary Julius. Viongozi wa chama cha ACT wazalendo Mkoa wa Kaskazini A na B kichama wametakiwa kuwaorodhesha wanachama wa chama hicho waliopo katika mikoa yao ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. Mwenyekiti wa chama cha ACT…
18 May 2024, 18:20
Wananchi mjini Maswa na vijiji 15 kukosa maji kwa siku mbili
Mpango wa kuwapatia maji safi na salama ni sera ya wizara ya maji hivyo jukumu la kukosekana kwa huduma ya maji kwa wananchi pindi usafi au kutibu maji ni kuboresha huduma hiyo. Na, Daniel Manyanga Wananchi mjini Maswa na vijiji…
17 May 2024, 14:41
Serikali yagawa vifaa kwa shule zenye wanafunzi wa MEMKWA
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha inaboresha elimu nchini kwa wanafunzi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma Mwl. Vumilia Simbeye amekabidhi vifaa vya shule kwa wakuu wa shule 16…
17 May 2024, 11:56
Maswa kuvuna pamba chini ya lengo
Kutokana na mvua kuwa kubwa kunyesha msimu huu wa kilimo kwa mwaka 2023/2024 zilizopelekea mavuno ya pamba kushuka wilaya ya Maswa inatarajia kukusanya mapato chini ya makadirio ya awali. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya tani elfu ishirini na mbili za…
16 May 2024, 6:27 pm
Watoto wafariki wakiogelea bwawani Shinyanga
Watoto watatu wakazi wa Kata ya Tinde Wilaya ya Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga wamefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la Ngaka lililopo katika kijiji cha Nyambuhi walipoenda kuogelea. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wamesema tukio hilo limetokea Mei…
16 May 2024, 6:09 pm
Mgogoro wa miaka 25 soko la Magwanji Kahama watatuliwa
Na Neema Nkumbi- Huheso Fm Wakazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Mtaa huo, kwa kumaliza mgogoro wa soko la Magwanji uliodumu kwa Zaidi ya miaka 25 uliokuwa ukikwamisha kuanza…
16 May 2024, 10:53
Makanika atoa msaada kwa waathirika wa mafuriko
Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wananchi walipata madhara ya nyumba na mali zao kuharibika kufuatia mvua zilizonyesha na kuacha simanzi kwa wananchi katika vijji vya jimbo la kigoma kaskazini ikiwemo pamila, nyarubanda na mwamgongo. Na Tryphone Odace – Kigoma Dc Wananchi…
15 May 2024, 11:59 pm
Mpanda Madiwani WaivaaTanesco Umeme Kukata Mara kwa Mara
“Kukatika kwa umeme baadhi ya maeneo imekuwa inajirudia na kumekuwa hakuna taarifa kutoka mamlaka husika jambo ambalo limekuwa likipeekea changamoto ya kusimama kwa baadhi ya kazi za watu zinazotegemea nishati ya umeme” Picha na Lilian Vicent Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi…
15 May 2024, 11:12 pm
Rc Katavi, Wazazi Zungumzeni na Watoto Kulinda Maadili
Mkuu wa mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko alipokuwa akitoa hotuba kwa Wananchi katika viwanja vya kituo cha Afya Nsemulwa katika siku ya familia duniani. Picha na Gladness Richard Kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni ‘Tukubali tofauti…