Habari za Jumla
28 March 2022, 10:19
Vijana Jitokezeni katika Vituo vya Huduma Rafiki  ya Afya ya Uzaz…
Vijana wameaswa kujitokeza katika Vituo rafk vya kutolea huduma za Afya ili kupata Elimu zaidi kuhusu masuala mbalimbali ya Afya na Afya ya Uzazi. Hayo yamesemwa na Dr Godfrey Christopher kutoka Kituo cha Afya Muungano kilichopo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu…
28 March 2022, 09:00
Uingereza kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege kukabiliana na Russia
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ametangaza kuwa London imeamua kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege ili kukabiliana na mashambulizi ya anga ya Russia. Shirika la habari la IRNA limemnukuu Ben Wallace akisema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, London imeamua kuipa Ukraine…
26 March 2022, 03:55 am
Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini
Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini ya kiislamu wakiwemo viongozi wa BAKWATA kwa kuendelea kutoa ushirikiano na kushikamana na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo katika Wilaya na kuwataka wasiache moyo huo wa upendo. Kitta…
25 March 2022, 7:17 pm
Wananchi watakiwa kushiriki anuani za makazi
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Clemence bernald Mkusa amewataka wananchi wilayani humo kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la anuani za makazi ili kurahisisha watoaji wa huduma ya sensa kufahamu mipango ya maendeleo katika jamii. Ameyasema hayo leo katika…
25 March 2022, 07:02
Chelsea yaruhusiwa kuuza tiketi
CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…
24 March 2022, 6:00 pm
Wanafunzi na walimu wa clubs za GBV wapanga mpango endelevu wa ulinzi na usalama…
Kutokana na kutokuwepo kwa ulinzi na usalama wa mtoto ndani na nje ya shule wanafunzi wa clubs za kupinga ukatili wa kijinsia GBV wilayani kahama mkoani shinyanga wamesema imekua chanzo kikubwa kinachosababisha kutendendeka kwa vitendo vya ukatili kwenye jamii. Wameyasema…
22 March 2022, 4:14 pm
Waziri wa ardhi azindua baraza la Ardhi Sengerema.
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi Mh, Agelina Mabula amewataka watumishi wa mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya nchini kutimiza wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia sheria ,kanuni ,taratibu na miongozo iliyopo na itakayotolewa ili kuboresha utoaji…
22 March 2022, 8:47 am
Wanunuzi parachichi wafuate bei elekezi ya serikali
RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe MPOKIGWA MWANKUGA amewataka wakulima wa zao la parachichi kuuza zao hilo kwa kufuta bei elekezi iliyotolewa na serikali ya shilingi 1600 kwa kilo. Ametoa kauli hiyo alipo kuwa akitoa elimu kwa wananchi…
21 March 2022, 20:18
WENYEVITIÂ WAÂ VITONGOJIÂ ZAIDIÂ YAÂ 40 WILAYANIÂ MASWAÂ WAGOMEAÂ POSHOÂ…
Wenyeviti wa vitongoji zaidi ya Arobaini wanaounda Mamlaka ya Mji mdogo Maswa wamegoma kushiriki zoezi la Uandikishaji wa anuani za Makazi kutokana na Kupunjwa Posho katika Zoezi la Uandikishaji wa Anuani za Makazi hivyo kupelekea kuomba Mwongozo wa Halmashauri kuhusu …
18 March 2022, 9:19 am
Watumiaji wa barabara watakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani
RUNGWE Na Lennox Mwamakula Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani wilayani Rungwe mkoani Mbeya FELIX KAKOLANYA amewataka waendesha vyombo vya moto kufuata sheria za barabarani wanapo tumia vyombo hivyo. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungunza na madereva pamoja na watumiaji wengine…