Radio Tadio

Habari za Jumla

23 June 2021, 10:58 am

DC ataka heshima kazini, Narudi kufundisha Madrasa.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Alhaji Majid Hemed Mwanga juni 22 2021 amewataka Viongozi wote Wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufanya hivyo Wilaya itasonga mbele zaidi…

21 June 2021, 9:26 am

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Nyati

By Edward Lucas Kijana aitwaye Magesa Magori (21) mkazi wa Mtaa wa Tamau, Kata ya Nyatwali Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara anusurika kifo baada ya kuvamiwa na mnyama nyati wakati akiwa anachunga ng’ombe maeneo ya Tamau. Akisimulia tukio…