Radio Tadio

Habari za Jumla

3 Machi 2023, 9:43 UM

Mbunge awapongeza Kwa ubunifu week ya elimu Masasi

katika siku ya maadhimisho ya week ya elimu Kwa Halmashauri ya mji Masasi yaliyohudhuriwa na wanafunzi wa shule za msingi na secondary zilizopo katika halmashauri hiyo pichani ni wanafunzi wakionyesha burudani. sambamba na hayo katika maadhimisho hayo yaliyohudhuriwa na Mh…

27 Febuari 2023, 12:27 um

Wanawake wenye Ulemavu Waiangukia Serikali

Kutokana na changamoto wanazokumbana nazo watoto wenye ulemavu wawapo shuleni. Na Fabiola Bosco. Baadhi ya wazazi wenye watoto walio na ulemavu wameiomba serikali kuwakumbuka kwa kuwapa usaidizi wa namna ya kuwahudumia Watoto wenye ulemavu wawapo shuleni pamoja na upande wa…

21 Febuari 2023, 4:55 um

Serikali itaendelea kushirikiana na wananchi – Mh. Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea  kuungana na wananchi katika kuimarisha miundomibu ya elimu ili kuhakikisha watoto Wakitanzania wanapata elimu bora na kutimiza ndoto zao. Waziri Mkuu…

16 Febuari 2023, 2:44 um

Mhe. Gondwe aagiza Bahi kuongeza Mapato

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gongwe ameiagiza halmashauri ya wilaya ya Bahi kuhakikisha inabuni, kusimamia na kuongeza vyanzo vya mapato ili kutekeleza kikamilifu agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kila wilaya kuhakikisha inakusanya mapato…

14 Febuari 2023, 5:41 UM

Madiwani waridhia wawili kufukuzwa kazi Kwa uzembe wao

Na, Lilian martin Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Masasi, Wilayani Masasi, Mkoani Mtwara kupitia Baraza la Madiwani kwa kauli moja wameridhia kuwafukuza kazi wauguzi wawili wanaofanya kazi katika Hospitali ya Mkomaindo, Wilayani Masasi Wauguzi hao wanadaiwa kufanya uzembe wa…

13 Febuari 2023, 4:32 um

UZIKWASA yapongezwa kwa hili 2023

Na Erick Mallya Wadau mbalimbali wa mazingira wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelishukuru shirika la UZIKWASA kwa kuanza kutoa mafunzo ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi pamoja na utunzaji wa mazingira wilayani humo. Kuanzia Februari 7 mpaka 10  shirika hilo…

10 Febuari 2023, 1:52 um

Safari ya mwisho ya mtangazaji Beatrice Mahangi

Ibada ya mazishi ya  mtangazaji wa kipindi cha BEMBEA LA WATOTO  BEATRICE JOSEPH MAHANGI  wa  kituo cha redio UFR 99.3 Tabora imefanyika   hii leo februari 10 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Paul-Bunda mkoani Mara. Awali Meneja wa kituo  cha redio UFR …