Radio Tadio

Elimu

31 Mei 2023, 1:17 um

Wazazi Mbwanga wahimizwa kusimamia malezi kukomesha utoro

Wananchi wamehimizwa pia kuendelea kutunza mazingira kwa kushiriki katika upandaji miti. Na Fred Cheti. Wazazi wa mtaa wa Mbwanga kata ya Mnadani mkoani Dodoma wamehimizwa kusimama vizuri katika malezi ya watoto ili kupunguza utoro wa wanafunzi unaotajwa kukithiri kwenye baadhi…

15 Mei 2023, 1:16 um

Kitomo akabidhi Printer shule ya Msingi Nyamihuu

Na Hafidh Ally Mdau wa maendeleo Elia Kitomo amekabidhi mashine ya kuprint na kutoa copy katika shule ya msingi Nyamihuu ili iwasaidie katika shughuli za Kitaaluma. Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hiyo, Elias Kitomo ambaye ni Mkurugenzi wa Kitomo Hardware…

12 Mei 2023, 3:40 um

Wakazi wa Manda watakiwa kushirikiana na walimu

Maila Sekondari kwa mwaka 2022/2023 ilishika nafasi ya tatu kwa ngazi ya Wilaya matokeo ya kidato cha nne na nfasi ya pili kwa matokeo ya kidato cha pili. Na Victor Chigwada. Afisa elimu wa Kata ya Manda Bw.Christopher Mataya  ametoa…

9 Mei 2023, 8:13 um

Mwanga Awataka Wazazi Kuendelea Kuchangia Chakula Shuleni

MLELE Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga amewataka wazazi na walezi Wilayani humo waendelee kuchangia chakula cha mchana kwa wanafunzi wote kwa shabaha ya kuinua kiwango cha ufaulu. Ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa Inyonga katika Mkutano wa…

6 Mei 2023, 6:08 mu

Wananchi wa Itenka A Walia Kuhamishwa kwa Mradi wa Shule

NSIMBO Wananchi wa kijiji cha Itenka A Halmshauri ya Nsimbo wamekumbwa na sintofahamu baada ya mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa uliopangwa kujengwa kijijini hapo kuhamishwa na kupelekwa kijiji jirani. Wakizungumza na kituo hiki wananchi wamesema kuwa awali ulipangwa…