Elimu
11 Septemba 2023, 7:54 mu
Wanafunzi 6000 Mpanda wataraji kuhitimu darasa la saba
MPANDA Zaidi ya Wanafunzi 6000 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba Manispaa ya Mpanda katika Mtihani Unaotarajiwa kufanyika Sept 13 na 14 mwaka 2023. Akizungumza na Mpanda Radio fm Afisa Elimu Shule za Msingi Manispaa ya Mpanda Godfrey…
Septemba 10, 2023, 2:25 um
Wanafunzi 12,120 Manispaa ya Kahama kufanya mtihani wa taifa juma lijalo
Katika mtihani huo wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Manispaa ya Kahama ni kumi ambao wanajumuishwa na wenye uoni hafifu. Watahiniwa 12,120 wanaotarajiwa kuhitimu elimu ya msingi katika halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wanatarajiwa kufanya mtihani wa kitaifa wiki…
10 Septemba 2023, 2:19 um
Wilaya ya Kusini Unguja yaomba nyumba za walimu
Na Mary Julius. Afisa Elimu Mkoa wa Kusini Unguja Mohammed Haji Ramadhani ameiomba wizara ya elimu kuwajengea nyumba walimu wa mkoa huo ili waweze kufika kwa wakati maskulini. Afisa elimu ameyasema hayo katika hafla ya kugawa taulo za kike zilizoteolewa…
10 Septemba 2023, 1:47 um
Wanafunzi wa kiume wilaya ya Kati Unguja wapewa mbinu kufikia ndoto zao
Na. Hakika Mwinyi Afisa Elimu wa Wilaya ya Kati Somoe Said amewataka wanafunzi wa kiume kujiepusha na vishawishi ili kuweza kutimiza malengo waliyojiwekea. Afisa Elimu ameyasema hayo katika ghafla ya kuwatunuku vyeti wanafunzi Wakiume 20 walio shiriki katika marathon iliyo…
9 Septemba 2023, 2:28 um
Waziri Mbarawa akabidhi vifaa vya ujenzi wa skuli vyenye thamani ya milioni 50
Prf, Mnyaa Mbarawa akitekeleza ahadi yake ya kuwajengea skuli wananchi wa sheia ya Chokocho ambapo kwa sasa eneo hilo kuna skuli moja tu ambayo wanasoma wanafunzi wa sekondari na Msingi wakiingia kwa nyakati za asubuhi na mchana . Na Khatib…
7 Septemba 2023, 5:07 um
Asma Mwinyi arejesha matumaini kwa wanafunzi wa kike Zanzibar
Na Mary Julius Mkurugenzi wa Asma Mwinyi Foundation, Asma Ali Mwinyi amesema taasisi hiyo inaandaa mkakati wa kuweka mazingira rafiki kwa watoto wa kike kwa kuwajengea vyoo maskulini ili kuondoa changamoto zote zinazowakumba wanapo kuwa katika hedhi. Asma ameyasema hayo…
7 Septemba 2023, 1:56 um
Madereva watakiwa kujaza mafuta gari ikiwa haina abiria
Je sheria hii imatambulika na imekuwa ikifuatwa na madereva wa vyombo vya moto hususani Magari ya abiria. Na Thadei Tesha. Madereva wa vyombo vya moto wametakiwa kutambua kuwa ni kosa kisheria kujaza Gari mafuta na abiria wakiwa ndani ya gari.…
4 Septemba 2023, 4:55 um
Wanahabari watakiwa kuongeza taaluma zaidi
Ikiwa wandishi wa habari watajenga tabia ya kujifunza zaidi kuhusu madhara ya upungufu wa damu hasa kwa wananwake na wasichana wataweza kuandaa vipindi vilivyo bora na ambavyo vitatoa masada mkubwa kwa jamii juu ya kukabiliana na tatizo hilo. Na Juma…
4 Septemba 2023, 1:02 um
Padre atoa msaada kwa watoto wenye uhitaji
Na Ospicia Didace Karagwe Mkurugenzi wa idara ya mashirika ya kipapa ya kimisionari ametoa msaada wa vyakula, nguo na vifaa vya kujifunzia vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tatu kwa wanafunzi wa shule msingi Mwoleka Mseto iliyoko Chabalisa katika…
4 Septemba 2023, 9:46 mu
Madiwani Tanganyika waomba mafunzo ya hewa ya Ukaa
TANGANYIKA Ili Kuitambua biashara ya hewa ya ukaa Madiwani wilaya ya Tanganyika wameitaka Halmashauri hiyo kuwapa madiwani Mafunzo ya biashara ya hewa ya ukaa. Wakizungumza katika kikao cha baraza la madiwani cha robo ya nne ya mwaka Wamesema katika vikao…