Biashara
4 Januari 2024, 4:42 um
Bei ya sare na vifaa vya shule yapaa
katika soko la machinga complex bidhaa zinazoonekana kushamiri ni pamoja na sare za shule kama mashati, sweta za shule madaftari pamoja na viatu vya shule. Na Thadei Tesha.Wakati wanafunzi wakijiandaa kufungua shule kwa ajili ya kuanza masomo yao kwa mwezi…
19 Disemba 2023, 6:41 mu
Wafanyabiashara wakiri biashara kuwa ngumu msimu huu wa sikukuu
Watu wanashauriwa kufanya maandalizi mapema ya mahitaji kwa ajili ya kipindi cha sikuku ili kuepuka uwepo wa changamoto mbalimbali ikiwemo bidhaa kupanda bei. Na Aisha Alim. Wafanyabiashara wa nguo pamoja na mapambo ya christmas katika eneo la one way Jijini…
14 Disemba 2023, 16:19
Wafanyabiashara soko la Gungu walia na ukosefu wa miundombinu bora
Serikali imeombwa kukarabati miundombinu ya barabara na mitaro inayopita katika soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Na Orida Sayon. Wafanyabiashara wa soko la Gungu lililoko kata ya gungu maniapaa ya kigoma ujiji wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya…
8 Disemba 2023, 11:09 mu
Makala: Bei ya mahindi katika soko la Terrat
Wachuuzi wa mahindi katika soko la Terrat Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi ya asilimia 100 kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Na Isack Dickson.…
7 Disemba 2023, 2:11 um
Mfumko bei ya mahindi waitesa Simanjiro
Mfumko wa bei kwa mazao ya nafaka hasa mahindi umeendelea kuwa changamoto kwa jamii ya wafugaji wilayani Simanjiro mkoani Manyara kutoka shilingi 7,000 hadi shilingi 15,000 hali inayosababisha baadhi ya familia kushindwa kumudu gharama za kununua mahindi kwa matumizi ya…
29 Novemba 2023, 17:56
Wakulima 200 Mbeya wapewa mafunzo ya mboga na matunda
Na Samwel Mpogole Zaidi ya wafanyabiashara na wakulima 200 wa mboga na matunda katika mikoa ya Songwe na Mbeya wamefuzu mafunzo ya ulasama wa chakula ambapo yamelenga kuongeza mnyororo wa thamani kupitia shughuli za uzalishaji . Mafunzo hayo yametolewa na…
28 Novemba 2023, 11:28
Serikali ya Mwaga Boti nne za kisasa kwa wavuvi ndani ya ziwa Nyasa
Naibu waziri wa Kilimo na Uvuvi Alexander Mnyeti amewataka wavuvi ndani ya Ziwa Nyasa kuhakikisha wanaachana na uvuvi haramu na badara yake watumie uvuvi wa vichanja ili kukuza uchumi wa Taifa.Nsangatii Mwakipesile Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi hapa nchini…
27 Novemba 2023, 15:33
Wajasiriamali mkoa wa Kigoma kujulikana kimataifa
Wajasiriamali wanaofanya shughuli za uokaji bidhaa manispaa ya Kigoma Ujiji wamekutana kwa ajili ya mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Shirika la viwango Tanzania TBS yenye lengo la kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na, Josephine Kiravu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa…
27 Novemba 2023, 2:11 um
Majengo waeleza kunufaika na mikopo
Uwepo wa Taasisi za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikoo kwa wajasiliamali imechangia kukuza biashara zao na kupata kipato cha kuendesha familia. Na Khadija Ibrahim. Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma wameeleza kunufaika kiuchumi kutokana na mikopo inayotolewa…
26 Novemba 2023, 12:54 mu
Wafanyabiashara kupatiwa mikopo ya bei nafuu
Kilio cha wafanyabiashara kupata mikopo kutoka benki na kutambulika kibiashara, sasa imepata ufumbuzi baada ya wao wenyewe kusimama kidete kutetea hilo. Na Daniel Magwina- Geita Viongozi Chemba ya wafanyabiashara mkoa wa Geita wameanza ziara ya kutembelea Taasisi za fedha mkoa…