Radio Tadio

Biashara

10 Julai 2023, 7:20 um

Vibaka wabomoa ghala la chakula Mbogwe

Wezi katika maeneo mbalimbali mkoani Geita bado ni changamoto huku uongozi katika ngazi mbalimbali ukiendelea kushirikiana na wananchi kwa ukaribu ili kutokomeza vitendo hivyo. Nicolaus Lyankando- Geita Kundi la watu ambao hawakufahamika wamebomoa ghala la chakula na kuiba magunia ya…

10 Julai 2023, 4:49 um

Biashara ya tangawizi, vitunguu swaumu yadoda Dodoma

Kwa sasa miongoni mwa viungo vinavyoonekena kushamiri katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ni pamoja na vitunguu swaumu na tangawizi ambapo wengi wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa msimu wa bidhaa hizo ni sasa kutoka mashambani. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara…

7 Julai 2023, 6:12 um

Msimu wa mavuno, bei ya mchele yashuka sokoni

Kwa sasa wastani wa bei ya mchele sokoni ni kati ya shilingi 2,300, 2,500 na kuendelea ambapo hapo awali ilikuwa kati ya shilingi 3,000, 3,500 na kuendelea na kwa mujibu wa wafanyabiashara wanasema kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kumetokana…

7 Julai 2023, 5:27 um

Wafanyabiashara Dodoma watakiwa kwenda maeneo waliyotengewa

Mara kadhaa Dodoma Tv imeshuhudia baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia mgambo wa jiji kuwafukuza katika maeneo ambayo wamekatazwa kufanya biashara ambapo mara kadhaa halmashauri ya jiji imekuwa ikiwataka kuhamia katika maeneo waliyopangiwa. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wanaofanya biashara katika eneo lilopo…

7 Julai 2023, 10:32

Dkt Mpango: Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wawekezaji

Wananchi wazawa wa Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuwekeza katika miradi mbalimbali mkoani humo ili kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. Na, Emmanuel Kamangu Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango amewataka watanzania kutumia fursa ya kufanya uwekezaji katika maeneo…

5 Julai 2023, 3:47 um

Wamiliki nyumba za wageni waja juu tozo ya kitanda

Kufuatia uchukuaji tozo ya asilimia moja kwa kila kitanda kwenye nyumba za kulala wageni mkoani Geita, wafanyabiashara wa nyumba hizo wameamua kusimama kidete ili serikali ipitia upya na kutoa muongozo wa tozo hizo. Na Mrisho Sadick -Geita Umoja wa Wafanyabiashara…

4 Julai 2023, 11:17 mu

Mkurugenzi aamuru wafanyabiashara kuondoka kando ya barabara

Kutokana na wafanyabiashara mjini Sengerema kuendesha shughuli zao pembezoni mwa barabara na kupelekea hofu ya kutokea ajali, hali hiyo imemuibua mkurugenzi wa halmashauri hiyo na kutoa siku tatu kwa wafanyabiashara hao kuondoka maeneo hayo . Na: Said Mahera Mkurugenzi Mtendaji…

3 Julai 2023, 11:43 mu

TRA kuendeleza ushirikiano kwa wanahabari

Na Mrisho Sadick Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na vyombo vya habari kufikisha elimu ya mlipa kodi kwa kuwa idadi kubwa ya wafanyabiashara hususani maeneo ya vijijini hawafikiwi na elimu hiyo mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa…

30 Juni 2023, 5:02 um

Dodoma: Wafanyabiashara waomba kuboreshewa mazingira

Katika eneo hilo zipo daladala zinazoelekea maeneo mbalimbali nje ya jiji ikiwemo Mpunguzi ambapo pia wapo baadhi ya akina mama na wafanyabiashara wadogo wanaojishughulisha na biashara katika eneo hili ingawa hali ya upatikanaji wa wateja sio ya kuridhisha. Na Thadei…