Radio Tadio

Ajali

12 July 2023, 11:32 am

Moto uliyozuka eneo la uwekezaji wadhibitiwa

Wananchi Mkoani Geita wametakiwa kutoa taarifa haraka pindi wanapohitaji msaada wa maokozi kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Geita limefanikiwa kuudhibiti moto uliyozuka karibu…

5 July 2023, 5:40 pm

Mmoja afariki 46 wajeruhiwa ajali ya gari Bunda

Mtu mmoja Anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amepozea  maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari  walilokuwa  wakisafiria kupata ajali katika eneo la Balili kona Bunda mkoani Mara Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa…

18 April 2023, 9:35 pm

Mmoja Afariki kwa Kuangukiwa na Ukuta Shanwe

MPANDA Mtu Mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeti Fabiano mwenye umri wa mika 29 mkazi wa Mtaa wa shanwe Manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi amefariki Dunia Kwa kuangukiwa na nyumba Akizungumzia tukio Hilo mama mzazi wa marehemu Khadija Eneliko…

14 April 2023, 10:15 am

Mvua Yaezua Nyumba Mbili Mtaa waMtemi Beda

MPANDA. Nyumba mbili zimeezuliwa katika mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo na kusababisha watu kukosa makazi . Wakizungumza na mpanda redio fm wahanga wa tukio hilo wamesema…

9 March 2023, 1:15 pm

Miili ya watu 9 waliofariki katika ajali yazikwa Katavi

KATAVI Miili ya watu 9 waliofariki katika ajali ya basi ya kampuni ya Kombas iliyotokea march 6 katika mlima Nkondwe halmashauri ya wilaya  Tanganyika mkoani Katavi imeagwa katika hospital ya manispaa ya Mpanda . Akizungumza wakati wa zoezi la kuaga…