Afya
27 April 2023, 3:41 pm
Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua
Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo. Yussuph Hassan. Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata…
25 April 2023, 4:58 pm
Dalili za ugonjwa wa Surua
Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. NaYussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambapo inaelezwa kuwa dalili zake zinaweza…
24 April 2023, 1:49 pm
Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake
Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…
22 April 2023, 9:28 am
Wananchi Waaswa Kutumia Vituo vy Afya.
MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuacha mila potofu ya kufuata huduma za matibabu kwa waganga wa kienyeji badala yake wajenge tabia ya kuvitumia vituo vya kutolea huduma za afya vinavyojengwa na serikali katika maeneo yao . Wameyasema…
20 April 2023, 3:28 pm
Chakula bora ni kinga dhidi ya Ukoma
Mtaalamu wa Afya anasisitiza kama mtu atazingatia lishe bora ataepuka maambukizi ya ugonjwa huu wa ukoma. Na Yussuph Hassan. Ulaji wa chakula bora ni moja kati ya tiba ya kuepukana ugonjwa wa ukoma.
19 April 2023, 1:19 pm
Aina za ugonjwa wa Ukoma na tiba zake
Zipo aina mbili za ukoma je ni zipi hizo? Na Yussph Hassan. Leo Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu anazungumzia juu ya aina za Ugonjwa wa ukoma na tiba zake.
19 April 2023, 12:42 pm
Waziri Ummy aitaka Mirembe kujikita katika kukuza afya ya akili
Kituo hicho kitahusisha huduma za tiba ya akili, tafiti mbalimbali za maradhi hayo, mafunzo ya Afya za akili na kuhamasisha jamii kuwa na uelewa juu ya Afya ya akili. Na Alfred Bulahya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka Bodi…
18 April 2023, 8:45 pm
Idadi ya Watu Kwenda Kupata Chanjo Yaongezeka
MPANDA Idadi ya watu wanaojitokeza kwenye vituo vinanyotolea huduma za Chanjo imeongezeka kutokana na hamasa inayotolewa na Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya watu waone umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 na chanjo za aina nyingine . Mratibu msaidizi…
18 April 2023, 4:49 pm
Zifahamu dalili za Ukoma
Ufahamu ugonjwa wa ukoma na dalili zake. Ugonjwa wa ukoma huambatana na dalili mbalimbali ambapo dalili hizo huchukua muda kujitokeza na leo tukiendelea kufahamu dalili zake na Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu baada ya…
18 April 2023, 2:10 pm
Mbunge Midimu Aiomba Serikali kuwapatia Jokofu la Maiti na genereta Hospital ya…
Hospital ya Wilaya ya Itilima imekuwa ikitoa huduma za afya kwa wananchi wengi huku ikibaliwa na changamoto ambazo serikali imeombwa kuzitatua. Na Hafidh Ally Hospitali ya Wilaya ya Itilima iliyopo Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na Changamoto ya ukosefu Jokofu la…