Radio Tadio

Afya

29 Agosti 2023, 1:56 um

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto hospitali kupatiwa huduma ya tohara

Wananchi wametakiwa kutumia fursa ya kwenda kufanya matibabu kwenye kambi inayoendelea katika Hospitali ya Kivunge. Na Omary Abdallah. Wizara ya Afya Zanzibar imesema kufanyika kwa kambi za magonjwa mbalimbali hapa nchini kunasadia kwa kiasi kikubwa kuwapatia huduma wananchi kwa ukaribu pamoja…

28 Agosti 2023, 12:57 um

Jamii yashauriwa kuzingatia Zaidi matumizi ya Asali

Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee, kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa…

28 Agosti 2023, 11:58 mu

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kunde kiafya

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO, imesema zao la Kunde na vyakula vyote vya jamii ya kunde ni nafuu na vitamu huku vikiwa na kiwango kikubwa cha protini na hivyo huweza kutumiwa badala ya…

25 Agosti 2023, 17:24

Jamii mkoani Kigoma yatakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

Magonjwa ya mlipuko mkoani Kigoma yanaweza kudhibitiwa iwapo hatua mbalimbali zitachukuliwa na jamii. Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kushirikiana vyema na wadau wa sekta ya afya ili kuondoa tatizo la magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Mganga Mkuu…

21 Agosti 2023, 5:55 um

Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri

Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili  (baba na mama)  kwenda kliniki kwa pamoja hasa …

20 Agosti 2023, 9:58 um

Watoa huduma afya ya kinywa na meno waja na mpango

Afya ya kinywa na meno ni muhimu katika maendeleo ya taifa, kwani bila ya afya njema hata utendaji hautawezekana. Na Zubeda Handrish- Geita Mganga Mkuu wa mkoa wa Geita (RMO) Omari Sukari amewataka wataalamu na watoa huduma katika kitengo cha…