Afya
13 October 2023, 11:40 am
Mkurugenzi afunguka sababu ya zahanati ya Kung’ombe kutoanza kazi hadi sas…
“Takribani shilingi milioni 16 zinahitajika kufanyia maboresho baadhi ya mambo katika zahanati ya Kung’ombe na kufikia mwezi Disemba 2023 itaanza kutoa huduma” Na Edward Lucas Kufuatia kilio cha wananchi wa mtaa wa Kung’ombe Halmashauri ya Mji wa Bunda juu ya…
12 October 2023, 5:14 pm
Miezi 3 tangu zahanati izinduliwe haijaanza kazi, wananchi wapaza sauti
Zahanati ilizinduliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru Julai 11 2023 lakini hadi sasa Oktoba 2023 bado haijaanza kazi, wananchi wapaza sauti kwa serikali. Na Edward Lucas Wakazi wa mtaa wa Kung’ombe Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara wameiomba…
11 October 2023, 5:28 pm
Ni athari zipi kiafya usipotumia uzazi wa mpango?-Kipindi
Mskilizaji sayansi imeeleza uzazi wa mpango ni njia muhimu ya kukuza afya ya mama na mtoto, uzazi wa mpango ni njia rahisi ya kunyonyesha mtoto hadi kufikia miaka miwili. Licha ya maelekezo hayo ya dini na ya kisayansi bado jamii…
11 October 2023, 12:58
Magonjwa zaidi ya 290 yanasababisha afya ya akili
Katika kukabiliana na ugonjwa wa afya ya akili wananchi wanashauriwa kufika kwenye vituo vya afya vinavyotoa huduma za afya ili kupima na kujua hali zao. Na Rachel Malango Tanzania inaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha kilele cha siku ya afya…
11 October 2023, 11:14 am
Asilimia 80 ya wagonjwa wa akili wamerithi ugonjwa huo
Inasadikiwa kuwa mtoto mmoja kati ya sita walio na umri wa chini ya miaka 18, ana uwezekano wa kuwa na tatizo la afya ya akili hata hivyo asilimia 75 ya watu hao hawapati huduma ya afya wanayohitaji. Na Selemani Kodima.…
11 October 2023, 9:04 am
BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima
Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…
10 October 2023, 5:12 pm
Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi
Amina Masoud Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme. Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke…
10 October 2023, 2:50 pm
Elimu yahitajika kukomesha unyanyapaa kwa wagonjwa wa afya ya akili
“Magonjwa ya afya ya akili yanatibika iwapo utabaini mapema na kuanza matibabu“ Na Mwandishi wetu Kukosekana kwa elimu ya kutosha kwenye jamii juu ya magonjwa ya afya ya akili kumechangia unyanyapaa kwa watu wanaougua magonjwa hayo. Hayo yamesemwa na mwanasaikologia…
10 October 2023, 09:04
Malinyi kunufaika na klinik tembezi
Na Jackson Machoa/Morogoro Mkuu wa wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro Mh. Sebastian Waryuba amezindua mradi wa klinik tembezi wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 210 uliofadhiliwa na nchi ya Uswiz kupitia shirika lisilo la kiserikali la Solider Med ili…
9 October 2023, 2:28 pm
Jamii Katavi yashauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango
Jamii Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango Na Kalala Robert & Veronica Mabwile – MpandaJamii Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango ili kuwa na…