Afya
14 November 2023, 12:12 pm
Nafasi ya wazazi wakati wa hedhi ya watoto-Kipindi
Kipindi hiki ni maalum kwa wazazi kuwa na utaratibu wakuwapa elimu ya hedhi watoto wao wakati wanapokuwa kwenye hedhi ili kuwalinda na madhara yatokanayo na Afya ya uzazi.
13 November 2023, 3:13 pm
Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi
Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa. Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya…
12 November 2023, 11:34 am
Wizara ya afya zanzibar yafanya muendelezo wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya…
Picha ya Wazriri wa Afya Zanzibar akizungumza na watendaji wa Hospitali ya Najing ya nchini China kuhusiana na zoezi la uchunguzi WA shingo ya kizazi. Picha na Habari maelezo “Saratani ya shingo ya kizazi ni moja ya ugonjwa hatari sana…
12 November 2023, 11:16 am
Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.
Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…
November 9, 2023, 6:33 am
Wananchi Ileje waiangukia serikali ukamilishaji wa zahanati
Na Denis Sinkonde, Ileje Wananchi wa kijiji cha Mbembati kata ya Lubanda wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamejenga zahanati ya Kijijini hapo kwa nguvu zao Ili kupunguza adha ya kusafiri umbali wa km 8 kufuata huduma katika kituo cha afya…
8 November 2023, 15:35
Momba kusimamiwa na serikali ujenzi wa vyoo kwa gharama zao
Serikali ya halmashauri ya wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo…
7 November 2023, 4:36 pm
Wananchi watakiwa kuacha matumizi ya maziwa mabichi
Baadhi ya watu wanaokunywa maziwa mabichi huenda wasielewe kikamilifu hatari na huenda wasijue uwezekano wa kupata ugonjwa kutokana na bakteria katika maziwa . Na Aisha Alim. Bodi ya maziwa nchini imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuepuka matumizi ya maziwa…
7 November 2023, 12:34 pm
Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa . Na Mariam Matundu. Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni…
5 November 2023, 13:44
Wanafunzi shule za msingi wilaya ya Songwe kunufaika na vyandarua 32,670
Wilaya ya Songwe imezindua kampeni ya usambazaji na ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule zote za msingi za Serikali na binafsi lengo likiwa ni kutokomeza maambukizi ya malaria katika wilaya hiyo. Na Mwandishi wetu,Songwe Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya…
November 3, 2023, 9:19 am
DC Ileje aagiza wananchi waelimishwe matumizi sahihi ya vyandarua
Na Denis Sinkonde, Ileje Wataalam wa afya na viongozi wa serikali wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wameagizwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya matumizi sahihi ya vyandarua vyenye dawa ili wajiepushe kutumia kutengenezea bustani za mbogamboga na kuvulia samaki.…