Radio Tadio

Afya

2 December 2023, 07:17

Pimeni afya zenu ili muishi vizuri

Na Hobokela Lwinga Jamii mkoani mbeya imeombwa kujitokeza kwenye hospitali vituo vya afya, na zahanati kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuanza matumizi ya dawa za kufubaza virusi mara moja hasa mhusika agundulikapo kuwa na maambukizi ili kuendelea kuijenga…

2 December 2023, 7:07 am

Rungwe yajinasua na maambukizi ya usubi

Baada ya kufanyika kwa tafiti mbalimbali kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa usubi mikoa ya nyanda za juu kusini jamii imehamasika na unywaji wa dawa na kuweza kutokomeza. wadau mbalimbali wakiwemo watendaji wa kata,wenyeviti wa vijiji , madiwani,maafisa tarafa na madaktari…

1 December 2023, 9:09 pm

Wakurugenzi waaswa kutekeleza afua za mapambano dhidi ya Ukimwi

Na Adelphina Kutika Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Iringa pamoja na wadau wa maendeleo wanaoshughulikia masuala ya Ukimwi chini ya programu ya PEPFAR kuelekeza fedha kwenye shughuli za utekelezaji wa afua za mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi. Agizo hilo…

30 November 2023, 10:42

Zahanati mpya ya kisasa yanukia Nduka

Baada ya kukosekana kwa huduma za afya kwa wananchi wa kijiji cha Nduka wilayani Kyela, serikali imepanga kujenga zahanati ya kisasa kijijini hapo. Na James Mwakyembe Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ambaye ni diwani wa kata ya Ikimba…

29 November 2023, 9:15 am

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala

Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa. Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo

28 November 2023, 7:10 pm

Mtazamo hasi wapelekea wanawake kushindwa kununua kondom

Na Mwandishi wetu Mitazamo tofauti imekuwa ikijitokeza kwenye jamii zetu juu ya suala zima la mwanamke kununua kinga (kondomu) moja kati ya mitazamo hiyo ni kuona au kumchukulia mwanamke anayeenda kununua kinga kama moja kati ya wanawake ambao hawajatulia kwenye…

27 November 2023, 11:36 pm

Kivuko cha meli Mharamba chasombwa na maji, wananchi wakwama

Mvua zinazoendelea kunyesha bado ni changamoto kwa wakazi katika maeneo tofauti mkoani hapa. Na Said Sindo- Geita Wakazi wa kijiji cha Mharamba, wilaya ya Geita mkoani Geita wamesema maisha yao yako hatarini kutokana na kivuko (Gati) walichokuwa wakitumia kusombwa na…

25 November 2023, 11:26 am

Mwanamke aliyejeruhiwa na mume wake anaendelea vizuri

Bwana Colini mtendaji wa mtaa wa 14 kambarage ndiye aliyetolea taarifa tukio hilo la ugomvi wa mke na mume baada ya kutokea mtaani hapo. Na Kale Chongela- Geita Mwanamke Justina Paul ambaye alijeruhiwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na…