Afya
20 March 2025, 12:13 pm
Wawili mbaroni kwa ubakaji wa mwanafunzi (10), yumo mwalimu
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akifanyiwa vitendo vya ubakaji kwa zaidi ya mwezi mmoja na watu wawili akiwemo mwalimu wake. Na: Emmanuel Twimanye – Sengerema Jeshi la Polisi wilayani Sengerema…
18 March 2025, 20:07
UWSA yatoa ofa kwa wateja wenye malimbikizo kulipa nusu gharama kisha kuwarejesh…
Katika kuadhimisha wiki ya maji, Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya UWSA imetoa ofa kwa wateja wake wenye malimbikizo ya ankara za maji kulipa nusu gharama na kisha kuwarejeshea huduma hiyo bure. Na Ezra Mwilwa Akitoa taarifa…
3 March 2025, 10:08
Wanawake Block D Ilomba watembelea gereza la Rwanda,Mbeya
Katika kuadhimisha kilele cha siku ya mwanamke Duniani wanawake mkoani Mbeya watumia nafasi hiyo kuwatembelea wahitaji mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Kuelekea siku ya mwanamke duniani Umoja wa kina mama mtaa wa Block D Ilomba wametembelea gereza la Ruanda upande wa…
19 February 2025, 10:45
Baraza la madiwani lapitisha bajeti ya bilioni 35.7 Kasulu Mji
Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Kanali Michael Ngayalina ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe amesema bajeti iliyopishwa ikawe chachu ya kuchochea maendeleo kupitia miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu…
18 February 2025, 17:24
Baraza la madiwani lapitisha bajeti ya zaidi ya bilioni 36 Kigoma Dc
Mawadiwani katika halmashauri ya wilaya Kigoma wametakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Tryphone Odace Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kigoma limepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 36 ambayo…
12 February 2025, 09:17
Mkataba ujenzi visima sita vya umwagiliaji wasainiwa Kigoma
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha inaimarisha sekta ya kilimo kwa kuweka miundombinu rafiki kwa wakulima ili kuhakikisha wanalima kilimo chenye tija. Na James Jovin Wakazi mkoani Kigoma wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya ujenzi wa miundombinu wezeshi kwa ajili…
31 January 2025, 11:25
TAKUKURU Kigoma yabaini mapungufu miradi 31 ya maendeleo
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu madogo madogo katika miradi 31 ya maendeleo kati ya miradi 32. Na Orida Sayon Akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwezi…
27 January 2025, 2:42 pm
Wadau waombwa kutimiza malengo ya maadhimisho ya wiki ya sheria
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wadau wa mahakama kushirikiana kutimiza malengo ya maadhimisho ya wiki ya sheria. Ametoa wito huo leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya sheria iliyofanyika katika viwanja vya NSSF karibu na TBC Tabora.…
21 January 2025, 16:07
Wavuvi watakiwa kutumia zana zilizoainishwa kwa ajili ya uvuvi
Wavuvi wanaofanya shughuli zao katika ziwa Tanganyika wametakiwa kutumia zana za uvuvi zilizoruhusiwa na kuainishwa wakati wa kuvua ili kulinda mazalia ya samaki. Na Josephine Kiravu – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amezindua kiwanda cha kuchakata…
21 January 2025, 14:23
Waziri wa uvuvi na mifugo aeleza serikali kuwawezesha wavuvi Kigoma
Serikali imesema itaendelea kuwawezesha wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi ili kuwasaidia kupata mazao yenye ushindani na kuongeza thamani. Na Tryphone Odace – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amewasili Mkoani Kigoma na kupokelewa na Mwenyeji…