Radio Tadio

Afya

28 November 2023, 7:10 pm

Mtazamo hasi wapelekea wanawake kushindwa kununua kondom

Na Mwandishi wetu Mitazamo tofauti imekuwa ikijitokeza kwenye jamii zetu juu ya suala zima la mwanamke kununua kinga (kondomu) moja kati ya mitazamo hiyo ni kuona au kumchukulia mwanamke anayeenda kununua kinga kama moja kati ya wanawake ambao hawajatulia kwenye…

27 November 2023, 11:36 pm

Kivuko cha meli Mharamba chasombwa na maji, wananchi wakwama

Mvua zinazoendelea kunyesha bado ni changamoto kwa wakazi katika maeneo tofauti mkoani hapa. Na Said Sindo- Geita Wakazi wa kijiji cha Mharamba, wilaya ya Geita mkoani Geita wamesema maisha yao yako hatarini kutokana na kivuko (Gati) walichokuwa wakitumia kusombwa na…

25 November 2023, 11:26 am

Mwanamke aliyejeruhiwa na mume wake anaendelea vizuri

Bwana Colini mtendaji wa mtaa wa 14 kambarage ndiye aliyetolea taarifa tukio hilo la ugomvi wa mke na mume baada ya kutokea mtaani hapo. Na Kale Chongela- Geita Mwanamke Justina Paul ambaye alijeruhiwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na…

23 November 2023, 18:04

Wagonjwa mtoto wa jicho Wanging’ombe kupata matibabu

Na Ezekiel Kamanga,Wanging`Ombe Njombe Wizara ya Afya imelipongeza shirika lisilo la kiserilali la Helen Keller Internationa(HKI) la Marekani kwa kugharamia kambi ya matibabu ya mtoto wa jicho itakayodumu kwa wiki moja kuanzia Novemba 20, 2023 hadi Novemba 27, 2023 hospitali…

23 November 2023, 17:15

Utalii Wa Matibabu Wa Nyemelea Mkoani Songwe

Na mwandishi wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa(MB), Amesema serikali itaendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Songwe ili kuimarisha huduma za afya zikiwemo za kibingwa na kwamba itakapokamilika itachochea utalii wa tiba kwa…