Radio Tadio

Afya

24 July 2025, 15:30

Neema yawashukia wakulima wa kahawa Kasulu

Halamshauri ya Wilaya Kasulu imepanga kuzalisha miche milioni moja  ya kahawa ili kutoa fursa kwa wakulima  wengi kufikiwa na kuongeza tija ya uzalishaji wa zao hilo. Na Emmanuel Kamangu Wakulima wa zao la kahawa katika kijiji cha Kibirizi kata ya…

18 July 2025, 13:11

Kilimo cha chikichi chawa lulu Kasulu

 Kilimo cha zao la mchikichi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kimeanza kuleta mafanikio kiuchumi kwa wakulima kufuatia usambazaji wa mbegu bora aina ya Tenera. Na Emmanuel Kamangu Wananchi wilayani Kasulu mkoa wa Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa ya…

18 July 2025, 11:01

Wafanyabiashara wa Mashine tatu wapelekwa Mlandege

Zoezi hilo limefanyika katika soko la Machinga lililopo eneo la Mlandege, likihusisha Umoja wa wafanyabiashara , idara ya masoko, maendeleo ya jamii na ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa. Na Godfrey Mengele Serikali ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana…

15 July 2025, 12:31

Jesca awachangia milion 5 waathirika wa moto

“Fedha hizi zitawasaidia wafanyabiashara wa soko la Mashine tatu na kuanza upya biashara kutokana na madhara ya moto” Jesca Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza Muda wake Jesca Msambatavangu, ameanzisha Mfuko Maalum wa Msaada kwa ajili…

10 July 2025, 12:46

Kakonko yatakiwa kuzalisha mazao ya kibiashara

Halmashauri ya Wilaya Kakonko Mkoani Kigoma imetakiwa kuweka mikakati ya kuzalisha mazao ya biashara yenye ushindani ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro…

8 July 2025, 17:26

RC Kigoma ahimiza eneo la uwekezaji zao la muhogo

Mkoa wa Kigoma unaendelea kufanya vizuri kitaifa katika uzalishaji wa zao la Muhogo ambapo makadirio kwa mwaka hufikia  hadi tani milioni 1.2 za muhogo mkavu na mbichi huku matarajio ikiwa ni kufikia zaidi ya tani milioni 3 ifikapo mwaka 2030.…

7 July 2025, 12:59

Zaidi ya milioni 800 kutolewa kwa vikundi 71 Kigoma

Vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu wametakiwa kutumia mikopo inayotolewa na Halmashauri kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa. Na Mwandishi Zaidi ya shilingi milioni 800 zinatarajia kutolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma kwa vikundi 71 vya wajasiliamali…