Recent posts
18 April 2021, 8:56 am
Mafuriko yakumba Kaya 50
KIGOMA Na; Glory Kusaga Takribani kaya 50 zilizopo Kata ya Katubuka manispaa ya kigoma ujiji Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani kigoma.Baadhi ya waathirika Wamesema changamoto ya maji kukaa katika makazi yao ni kubwa na…
16 April 2021, 3:35 pm
Kilio cha Walemavu chatatuliwa
UVINZA Na, Editha Edward Baada ya Redio uvinza fm kuripoti taarifa ya watu wenye ulemavu kupatiwa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na kila halmashauri kwa takribani miezi mitano iliyopita ili kujikwamua kiuchumi halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa kigoma…
16 April 2021, 1:27 pm
Wananchi wa Kibirizi wawashukuru Viongozi wao
Na; Glory Kusaga KIGOMA Wananchi wa kata ya Kibirizi Manispaa ya kigoma ujiji wamewashukuru Viongozi wa kata hiyo kwa jitihada za kudhibiti matukio ya wizi na udokozi yaliyokuwa yanaathiri Maendeleo yao . Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema Vitendo vya wizi vimekuwa…
24 March 2021, 10:48 am
Wananchi wa Nkungwe wilayani Kigoma washukuru serikali kwa kuondoa kero ya maji.
KIGOMA. Wananchi wa Kata ya Nkungwe Halmashauri ya Wilaya Kigoma Mkoani Kigoma wamepongeza Serikali kuwasaidia kuwapelekea huduma ya maji kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia maji ya visima hali iliyosababisha kuungua magonjwa ya mlipuko mara kwa mara. Wananchi hao wameeleza…