Recent posts
20 May 2021, 7:27 pm
Ukosefu wa maji wawaliza wananchi
Na,Editha Edward Wananchi wa kijiji cha Ruchugi wilayani uvinza mkoani kigoma wameiomba serikali iwatengenezee magati ya maji waliyoyaweka ili maji yaweze kutoka na kuondokana na adha wanayopata ya kutembea umbali mrefu kufuata maji Wakizungumza na redio uvinza fm wananchi wa…
18 May 2021, 8:12 pm
Magoti yatumika kama Madawati Shuleni
Na,Timotheo Leonardi Wanafunzi katika shule ya Msingi shikizi kutoka shule mama ya Muungano iliyopo kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma hawana madawati haliinayopelekea kukaa kwenye benchi nahatimaye kupata ugumu wakati wakiandika masomo yao Hayo wameyasema wakati Radio Uvinza fm…
18 May 2021, 7:33 pm
Wafanyabiashara walia na ulinzi
Na,Mwanaid Suleiman Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Uvinza Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wamesema wanashindwa kuongeza bidhaa katika maduka yao kutokana na kuhofia usalama uliopo katika eneo hilo Hayo yamebainishwa na JUMA RASHID pamoja na TAMIM JACKSON wakati Redio Uvinza…
17 May 2021, 5:30 pm
Wananchi walia na zahanati
Na,Timotheo Leonardi Wananchi wa Kitongoji cha Kazaroho Kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wameiomba serikali kuwajengea Zahanati katika kitongoji hicho, ilikuondoa usumbufu ambao wamekuwa wakikutananao kinamama wajawazito, kwa kutembea umbali mrefu hali ambayo hupelekea wakati mwingine kujifungulia njiani Wakizungumza…
13 May 2021, 5:28 pm
NBC yazindua klabu ya Wafanyabiashara
Benki ya NBC imezindua klabu ya wafanyabiashara wa benki hiyo mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya mipango ya benki hiyo kusogeza huduma kwa wateja wake sambamba na kujenga mtandao ambao utawasaidia wafanyabiashara ,na wateja wa benki hiyo kufanya biashara zao…
12 May 2021, 4:40 pm
KUWASA wakanusha kuwabambikizia bili za maji wateja
Na,Glory Paschal Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji, KUWASA wamekanusha taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na Maji Ewura kuwa wamekuwa wakiwabambikiza bili za maji wateja Akizungumza na Waandishi wa…
10 May 2021, 4:35 pm
Kilomita kumi za lami zawanyima usingizi Wananchi
Na,Timotheo Leonardi Wananchi wa kijiji cha Uvinza Mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara ya kilomita 10 yenye kiwango cha lami iliyoahidiwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Wakizungumza katika mkutano wa…
7 May 2021, 1:28 pm
Makubaliano ya Mkataba wa Mdomo yanyoshewa kidole
Na, Timotheo Leonardi Mkurugenzi wa kituo cha msaada wa usaidizi wa kisheria Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma Joseph Kanyaboya amewaomba waajiri wa Wafanyakazi wamajumbani, kuhakikisha kuwa wanazingatia taratibu za makubaliano kwanjia ya Mkataba wamaandishi, badala ya makubaliano ya Mdomo akiyataja kuwa…
5 May 2021, 3:49 pm
Sehemu yakufanyia Biashara yawaliza Wajasiriamali
Na, Timotheo Leonardi Baadhi ya Wajasiriamali wa Kijiji cha Uvinza kata ya Uvinza Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, wamesema wanapata adhaa kubwa wakati wakifanya shughuli zao kutokana na kukosekana kwa eneo maalum la kuuzia bidhaa zao Hayo Wameyasema mbele ya kinasasauti…
28 April 2021, 6:18 pm
Jumuiya ya Dini yatoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu
Na,Glory Paschal Jumuiya ya Dini Mbalimbali Mkoani kigoma imetoa Pongezi kwa Mh. Rais Samia Suluhu kwa kuwa Rais wa Tanzania na kuvipa nafasi vyama vya siasa vya Upinzani kupata fursa ya kuonana nae na kuzungumzia mwenendo wa Siasa Nchini Jumuiya…