Recent posts
28/09/2021, 7:12 pm
Wananchi wajengewa daraja ili kuepukana na vifo vilivyokuwa vikitokea
Na,Glory Paschal Wananchi wa Kata za Bitale na Mkongoro Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma wameondokana na adha ya kusombwa na Maji ya Mto Nyabigufa na kusababisha vifo pamoja na kupoteza mali zao, baada ya Serikali kujenga daraja la…
27/09/2021, 6:48 pm
Serikali kuja na mpango harakishi wa kila mwananchi kupata chanjo
Na, Mwanaid Suleiman Serikali imesema imekuja na mpango harakishi wa kuhamasisha chanjo ya corona ikiwa lengo ni kuhamasisha kila mwananchi anapatiwa chanjo ya corona Hayo yamesemwa na DR CRESENCIA JOHN kutoka ofisi ya mganga mkuu mkoani kigoma wakati akizungumza na…
16/09/2021, 9:10 pm
Waziri mkuu amewahakikishia wakulima wa mazao ya kimkakati masoko
Na,Glory Paschal Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Mjaliwa Kassim amewahakikishia wakulima wanaolima mazao ya kimakakati nchini kuwawezesha katika mchakato wa kuandaa kulima na kuwatafutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Ametoa kauli hiyo alipotembelea Shamba la michikichi katika kambi…
13/09/2021, 3:40 pm
UNDP kuwafunda wabunifu mbalimbali mkoani Kigoma
Na,Glory Paschal Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia Maendeleo UNDP, likishirikiana na shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo sido mkoani kigoma wametoa mafunzo kwa wabunifu wanaoanza ili kuibua bunifu na kuahindanisha kazi zao ambapo mshindi wa kwanza atapatazawadi ya milioni 10…
09/09/2021, 5:54 pm
Kuwahi mapema kliniki kwa mama mjamzito husaidia kiafya
Na,Editha Edward Imeelezwa kuwa kuwahi mapema kliniki kwa mama mjamzito humsaidia kujua hali ya mama kiafya Pamoja na hali ya mtoto wake aliyeko tumboni Akizungumza na redio Uvinza fm mganga mkuu wilaya ya Uvinza dkt ZAITUNI HAMZA amesema kuna baadhi…
09/09/2021, 5:44 pm
Utalii waongezeka hifadhi ya Ruaha baada ya kupungua kwa covid 19
Na,Glory Paschal Imeelezwa kuwa katika Kipindi cha Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona awamu ya kwanza na ya pili hali ya watalii kutembelea hifadhi za Taifa Ikiwemo Ruaha ilipungua ikilinganishwa na wakati huu ambapo watalii wameanza kujitokeza kwa wingi kutembelea hifadhi…
08/09/2021, 5:43 pm
Wafungwa na watumishi wa gereza wapokea chanjo ya uviko 19
Na,Glory Paschal Wafungwa na watumishi katika gereza la bangwe mjini kigoma, wamepokea chanjo ya uviko 19 kwa kuchwanjwa ili kuendelea kujilinda na maambukizi ya ugonjwa huo na kuendelea kujilinda na kuwalinda ndugu jamaa na marafiki wanaowatembelea gerezani Wamesema hatua hiyo…
07/09/2021, 8:17 pm
Uharibifu wa miundombinu ya maji mkongoro bado unaendelea
Na,Glory Paschal Licha ya Kuundwa Jumuiya za watumia maji katika baadhi ya kata Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa lengo la kutoa taarifa ya uharibifu wa miundombinu ya maji katika mradi wa Maji wa Mkongoro Namba mbili bado uharibifu unaendelea. Hayo…
06/09/2021, 4:31 pm
Ugumu wa maisha huwapelekea waendesha bajaji kubeba zaidi ya abiria watatu
Na,Mwanaid Suleiman Baadhi ya waendesha bajaji wilayani uvinza mkoani kigoma wamesema kuwa ugumu wa maisha hupelekea kubeba abiria zaidi ya watatu kwenye bajaji licha ya kwenda kinyume na sheria za barabaarani Hayo yamebainishwa na bw ALLY MOHAMED pamoja na ATHUMANI…
03/09/2021, 5:57 pm
Dawa ya kupunguza makali ya Vvu yaanza kutolewa
Na,Glory Paschal Dawa ya kupunguza Makali ya virusi vya UKIMWI imeanza kutolewa kwa miezi sita kwa wagonjwa wenye maambukizi ili kusaidia kupunguza makali ya virusi hivyo. Hayo yamezungumzwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Saimon Chacha, nakusema wagonjwa…