Recent posts
24/11/2021, 4:09 pm
Wanawake watakiwa kuunda vikundi ili wapate mikopo ya Serikali
Wanawake wajasiriamali Mkoani Kigoma wametakiwa kuunda vikundi, ili waweze kupatiwa mikopo na Serikali ili kuweza kendeleza shughuli zao na kujikomboa kiuchumi Hayo yamesemwa na Afisa Maendeleo Halmashauri ya wilaya ya Kigoma ZILIPA KISONZELA mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya…
24/11/2021, 3:59 pm
Mabomba ya maji yenye thamani ya shilingi milioni 600 yatolewa na serikali
Na,Glory Paschal Mabomba ya Maji yenye thamani ya Shilingi milioni 600 yametolewa na Serikali katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, ambayo yanaanza kutandikwa katika kata kadhaa ikiwemo kata ya Bangwe Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bi. ESTER MAHAWE amesema hatua hiyo…
19/11/2021, 7:13 pm
Shilingi bilioni 2 kujenga vyumba vya madarasa
Na,Glory Paschal Wananchi Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la Ujenzi wa vyumba 48 vya madarasa, ambavyo vinatakiwa kukamili ndani ya siku 45 Mkuu wa Wilaya ya Kigoma ESTER MAHAWE , akizungumza na wananchi wa kata ya…
18/10/2021, 7:24 pm
Serikali yajipanga kujenga mwalo wa kisasa
Na,Glory Paschal Naibu wa Waziri wa Uvuvi na mifugo ABDALLAH ULEGAamesema Serikali imejipanga kujenga mwalo wa kisasa wa Katonga Manispaa ya Kigoma Ujiji ili wavuvi wapate sehemu Ya kuanika dagaa na kiwanda cha kusindika dagaa. Mh. ULEGA amesema hayo akiwa…
12/10/2021, 5:57 pm
Majangili wawili wakamatwa
Na,Glory Paschal Polisi mkoani Kigoma wamesema kwa nyakati tofauti wamefanikiwa kuwakamata watu wawili wakituhumiwa kujihusisha na ujangili Pamoja na uhalifu mwingine katika matukio mawii tofauti yaliyotokea Oktoba tisa katika Wilaya za Kibondo na Uvinza Kamanda wa Polisi Mkoa wa KigomaJAMES…
08/10/2021, 6:08 pm
Taa za kuongozea magari zenye thamani ya milioni 55 zazinduliwa
Na,Glory Paschal Mkuu wa Mkoa wa Kigoma THOBIAS ANDENGENYE amezindua taa za kuongozea magari na watumiaji wengine wa barabara za njia nne katika barabara ya Lumumba Mjini Kigoma ambazo thamani yake ni Shilingi Milioni 55 Akizungumza mara baada ya kuzindua…
07/10/2021, 5:53 pm
Serikali mbioni kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana
Na,Glory Paschal Waziri wa Nishati JANUARY MAKAMBA amesema serikali iko katika mchakato wa kuhakikisha inafikisha umeme wauhakika Mkoani Kigoma kwa kuunganisha Mkoa huu na Gridi ya Taifa kutoka vituo vya Nyakanazi na Tabora Mh. MAKAMBA amesema hayo wakati alipotembelea Kituo…
29/09/2021, 7:29 pm
Wajasiriamali wametakiwa kutunza mazingira
Na,Glory Paschal Wajasiriamali nchini wametakiwa kuzingatia elimu ya utunzaji wa mazingira inayotolewa na baraza la uhifadhi wa mazingira NEMC ili kuweka mazingira safi na salama. Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa NEMC Nchini Bw. Samwel Gwamaka wakati akiongea na…
29/09/2021, 6:40 pm
Imani potofu na uchache wa vituo kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo
Na,Glory Paschal KIGOMA Imeelezwa kuwa Imani Potofu na uchache wa vituo vya kutolea chanjo katika maeneo ya jamii imeelezwa kuwa chanzo cha kudhoofisha zoezi la utoaji chanjo ya UVIKO 19 kutofanikiwa mkoani Kigoma Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa…
29/09/2021, 6:34 pm
Majambazi watatu wauawa
Na,Glory Paschal Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limefanikiwa kuwaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika barabara inayotokea kijiji cha Kagerankanda kata ya Nyakitonto Tarafa ya Buhoro wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Jeshi…