Usalama
26 January 2024, 21:45
Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi Mbeya
Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwaselela Azimio Gerald [31] Mkazi wa ZZK mji mdogo wa Mbalizi na wenzake wawili Furaha Issa [32] na Goodluck Mwakajisi [25] wote…
15 January 2024, 13:23
Polisi Kigoma yakamata silaha 16 zinazomilikiwa kinyume na sheria
Jeshi la Polisi Mkoani kigoma limefanikiwa kukamata silaha 16 zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sheria huku washatakiwa 2 wa kesi za kupatikana na hatia wakihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha…
14 January 2024, 20:01
Mamba mla watu auawa Mtera Iringa
Na Moses Mbwambo, Iringa Hivi karibuni Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego, Kuingia kazini kusaka Mamba leo Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania Tawa kwa Kushirikiana na Wananchi wa Kata ya Migoli Halmashauri ya…
11 January 2024, 17:46
RC Dendego aingia kazini kusaka mamba Mtera
Na Moses Mbwambo,Iringa Ikiwa ni siku chache vyombo vya habari kuripoti tukio la mwananchi aliyeliwa na mamba katika bwawa la mtera lililopo kata ya migori, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego leo amefanya…
25 December 2023, 9:54 am
Siha watakiwa kusheherekea sikukuu kwa amani
Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro watakiwa kusheherekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya kwa amani na utulivu. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amesema wamejipanga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika…
22 November 2023, 6:25 am
Msako kuanza madereva pikipiki wanaokunja namba za usajili
Changamoto ya baadhi ya madereva pikipiki kukunja namba za usajili za vyombo vyao imekuwa kubwa kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuingilia kati kwa sababu za kiusalama. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeanza…
9 November 2023, 3:34 pm
Watu 25 wakamatwa kwa tuhuma za ujangili Geita
Matukio ya ujangili yamekithiri kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuamua kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na hilo. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu 25 kwa tuhuma za ujangili wa misitu ikiwemo…
4 November 2023, 10:14
DC Mbeya atoa onyo kali wanaotaka kuvuruga amani
Mwandishi Samweli Mpogole Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa ametoa angalizo kwa watu wanaotaka kuvuruga amani iliyopo na kuwataka kuacha mara moja kwani Mbeya ni kitovu cha amani na biashara Ameyazungumza hayo kwenye mahafali ya kuhitimu kwa mafunzo ya…
18 October 2023, 6:30 pm
Madereva waonywa kupakia dizeli, petroli kwenye usafiri wa umma
Changamoto ya baadhi ya wasafirishaji kuruhusu kupakia chupa zenye mafuta ya dizeli na petroli kwenye vyombo vyaio imekuwa kero kwa abiria mkoani Geita. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya abiria wanaotumia magari madogo ya abiria aina ya hiace yanayofanya safari…
26 September 2023, 5:47 pm
Buswelu: waumini endeleeni kupinga matendo maovu kwenye jamii
Na Veronica Mabwile – KataviWaumini wa madhehebu mbalimbali Mkoani Katavi wameombwa kuendelea kupinga matendo maovu yanaojitokeza katika jamii ikiwemo kamchape na lambalamba ili kuendelea kulinda amani iliyopo . Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu kwa…