habari
6 January 2024, 00:54
Mbeya yatia saini mikataba ya upimaji na PEPMIS
Na Hobokela Lwinga Zoezi la Utiaji Saini wa Mikataba ya Mfumo MPYA wa Upimaji wa Utendaji Kazi wa Watumishi(PEPMIS) katika Mkoa wa Mbeya limefanyika ambapo limemhusisha Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa…
30 November 2023, 22:27
Kisa Simba, Yanga bodaboda Kyela wasogeza mbele uchaguzi
Uchaguzi wa kuwapata viongozi wa umoja wa bodaboda Kyela uliopangwa kufanyika Disemba 2, 2023 umesogezwa mbele mpaka Disemba 8, 2023. Na Nsangatii Mwakipesile Mwenyekiti wa uchaguzi wa waendesha bodaboda wilayani Kyela Widrey Mwasyeka ametangaza kusogezwa mbele uchaguzi wa chama hicho…
November 17, 2023, 6:53 pm
Watumishi 5 wafukuzwa kazi halmashauri ya Makete
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Makete Mh. Christopher Fungo pamoja na viongozi wengine katika kikao cha baraza la madiwani. Picha na Ombeni Mgongolwa Ili kuhakikisha maendeleo kwa wananchi yanawafikia hususani viongozi nao kuwajibika katika nafasi zao imeonesha utoro kwa baadhi…
16 November 2023, 9:49 pm
Baraza la madiwani Bunda laahirishwa madiwani wakidai taarifa za miradi
Madiwani wakataa kuendelea na kikao wakiomba kupata taarifa za miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya halmashauri. Na Edward Lucas. Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, Mhe. Charles Manumbu ameahirisha kikao cha baraza hilo na kumwagiza…
2 November 2023, 6:17 pm
Jioni Ripoti: Taarifa ya habari ya jioni 02-11-2023 Storm FM Geita
Bonyeza hapa kusikiliza
2 November 2023, 12:46 pm
Mpango maalum ‘Tumewasikia Tumewafikia’ wazinduliwa Dodoma
Mpango huo ulizinduliwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ambapo ni programu ya nchi nzima yenye lengo la kuhakikisha wananchi wanapata taarifa juu ya yale yanayotekelezwa na seikali ya awamu ya sita ukiwa na jina TUMEWASIKIA TUMEWAFIKIA. Na…
22 October 2023, 11:01 pm
UWT Bunda: Wanawake tumejipa kazi nyingi, tumesahau malezi kwa watoto
“Akina mama tumejipa shughuli nyingi tumesahau wajibu wetu wa malezi, twende tuwalinde watoto” Na Edward Lucas Wanawake wameaswa kuzingatia malezi ya watoto ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii Wito huo umetolewa leo na Mjumbe Kamati…
22 October 2023, 7:22 am
NIDA Bunda: Zaidi ya vitambulisho elfu 50 vyapelekwa ofisi za kata
“Mbali na vitambulisho vilivyokuwepo awali, serikali imeleta tena vitambulisho vingine kwa wale waliojiandikisha hivi karibuni kwahiyo wananchi wafike ofisi za kata kuchukua vitambulisho vyao” Na Edward Lucas Wito umetolewa wananchi wilaya ya Bunda mkoani Mara kufika katika ofisi za kata…
22 September 2023, 3:34 pm
Vijana wa kanisa la Baptist Nyasura wawatembelea wagonjwa hospital ya Bunda DDH
Umoja wa vijana kutoka kanisa la Nyasura Baptist Wakiongozwa na mchungaji wao kiongozi Jeremiah Motomoto wamefanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa hospital ya Bunda DDH Kwa lengo la kuwatia moyo na kuwaombea Na Adelinus Banenwa. Umoja wa vijana kutoka kanisa la…
22 September 2023, 2:53 pm
Mara waikubali ZUKU, waipokea kwa mikono miwili
Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora wake wa muonekano wa picha. Na Thomas Masalu Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora…