Radio Tadio

corona

25 September 2026, 5:52 pm

BHRT suluhu ya migogoro ya Ardhi Manyara

 Shirika  la Biashara na Haki za Binaadamu  BHRT limeendelea kutoa elimu mbali mbali kuhusu haki za binaadam  katika uwekezaji wa biashara na  haki ya  ardhi Na Hawa Rashidi Mkurugenzi wa Shirika la Biashara na haki za Binaadamu  BHRT Rose Ugulumu…

24 September 2026, 7:42 pm

BHRT yawataka Manyara kutumia wanasheria kutatua migogoro ya ardhi

Shirika la Biashara na Haki za Binadamu (BHRT) limewataka wananchi mkoani Manyara kuwatumia Wasaidizi wa Kisheria kuwasaidia kufahamu haki zao za umiliki wa ardhi. Na George Augustino Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kuwatumia wasaidizi wa kisheria kutoka  Mashirika kama CSP pamoja…

21 July 2026, 09:25

Madereva pikipiki watoa msaada kwa wagonjwa Kasulu

Kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini ni kitendo cha huruma, upendo na mshikamano kinachochangia kuboresha ustawi wa wagonjwa na familia zao na misaada hiyo inaweza kujumuisha vyakula, sabuni, nguo, vifaa vya usafi na mahitaji mengine muhimu yanayosaidia kurahisisha maisha ya…

14 July 2026, 10:32 pm

Wafungwa watakiwa kufuata sheria kuomba kifungo cha nje

Wafungwa waliopatiwa adhabu ya kifungo kisichozidi miaka minne wametakiwa kufuatilia  haki yao ya kuomba kutumikia sehemu ya kifungo  chao wakiwa nje kupitia huduma kwa jamii, endapo watatimiza vigezo na masharti yaliyowekwa kisheria. Na Mzdalfa Zaid Hayo yameelezwa na Afisa huduma…

30 June 2026, 4:09 pm

GGML yafadhili mapambano ya malaria Manispaa ya Geita

Jumla ya shilingi milioni 200 imetolewa na Mgodi wa GGML kupitia CSR kwa mwaka 2025/2026 ili kufanikisha utekelezaji wa mpango huo kwa kuzingatia vipengele vya uraghibishi, mafunzo kwa wakufunzi, mafunzo kwa watekelezaji na gharama za uendeshaji. Na: Ester Mabula Halmashauri…

5 May 2026, 7:17 pm

Washauriwa kuepuka mikopo kutoka taasisi zaidi ya moja

Kufuatia kuwepo na malalamiko ya baadhi ya wamama kukimbia miji yao kama njia ya kukwepa kulipa madeni ya mikopo kutoka taasisi za kukopesha maarufu kausha damu, sasa washauriwa kuacha kukopa kwenye taasisi nyingi ili kuepuka fedheha ya kuacha watoto na…

11 February 2026, 13:36

Bodaboda waaswa kutojihusisha na uvunjifu wa amani Kasulu

Jeshi la Polisi wilayani Kasulu mkoani Kigoma limewataka maafisa usafirishaji maarufu bodaboda kutokuwa sehemu ya uvinjifu wa amani. Na Hagai Ruyagila Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuepuka kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani, na…

20 January 2026, 5:12 pm

Manyara watakiwa kuwatumia mawakili wenye weledi

Wananchi  mkoani Manyara wametakiwa  kutumia mawakili na wanasheria wenye weledi  katika utatuzi wa kesi mbalimbali  ili  changamoto zao  zitatuliwe  kwa wakati. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga, ameyasema hayo leo wakati  akizindua  kamati  ya ushauri wa…