Radio Tadio

AJALI

19 July 2026, 16:02

TAWEA na CAF wazindua mradi wa kulinda mazingira Kigoma

Utunzaji wa mazingira ni msingi wa maendeleo endelevu, kwani unalinda afya, uchumi na ustawi wa jamii huku ukihakikisha rasilimali za asili zinadumu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo Na Emmanuel Kamangu Mradi wa Green Alert unaofadhiliwa na CAF…

13 February 2026, 12:02 pm

Mradi wa Mama mjamzito na mtoto salama wabisha hodi Geita

Shirika la THAMINI UHAI limepata ufadhili wa kutekeleza mradi wa Mama mjamzito na mtoto salama kwa muda wa miaka mitano kuanzia Septemba hadi Juni 2030 kupitia ufadhili wa pamoja wa Bloomberg Philanthropies na Gates Foundation. Na: Ester Mabula Shirika la…

6 February 2024, 4:48 pm

Mwanafunzi afariki wakati akiogelea bwawani Geita

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mashimo makubwa kujaa maji nakuleta madhara kwa watu na wanyama waliyopembezoni mwa mashimo hayo. Na Kale Chongela: Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Mbabani Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita  wilayani Geita amefariki…

31 December 2023, 10:07

Watu kadhaa wahofiwa kufariki ajalini Mbeya

Na Kelvin Lameck Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Mbembela kata ya Nzovwe jijini Mbeya. Ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo roli pamoja hiace mbili ambazo zilikuwa na abiria zikifanya safari zake Sokomatola Mbalizi.…

4 December 2023, 12:08 pm

Kayombo: Nilipanda mtini nyuki wakanishambulia

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jila la Rudigel Kayombo mkazi wa Makwale wilayani Kyela amevinjika uti wa mgongo baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na Masoud Maulid Rudigel Lucas Kayombo mwenye umri wa miaka 61 mkazi wa kijiji cha Ibale…

14 November 2023, 20:04

Radi yaua mtu mmoja na Ng`ombe 27 Sumbawanga Rukwa

na Mwandishi wetu Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha Maafa Wananchi wilayani sumbawanga Mkoani Rukwa wametakiwa kuchukua tahadhari za kiusalama ikiwa ni pamoja na kusimamisha Shughuli za Kilimo Pindi Mvua zinaponyesha. Hayo yamejiri Mara baada ya Mvua kubwa iliyoambatana…