Podcasts
25 October 2023, 2:02 pm
Ufahamu uhuru wa matumizi ya kipato
Baadhi ya jamii bado zinaamini mila na desturi kamdamizi kuwa mwanaume ni kilakitu katika familia . Na Mariam Matundu. Je uhuru wa matumizi ya kipato ninini? Je nini kinapelekea baadhi ya wanaume kuwanyima wake au wenza wao uhuru wa kutumia…
24 October 2023, 7:56 pm
Makala: Matumizi ya dawa holela bila kujua muda wa matumizi yake
Bonyeza hapa kusikiliza
23 October 2023, 15:00 pm
Makala: Upatikanaji wa huduma za afya kwa watu wenye ulemavu
Upatikanaji wa huduma za afya kwa watu wenye ulemavu ni makala inayozungumzia masuala mbalimbali ambayo watu wenye ulemavu hukumbana nayo na pia imeeleza namna ambavyo wanapata huduma. Makala hii imeelezea madhira wanayopitia katika maeneo ya kutolea huduma. Na Msafiri Kipila…
23 October 2023, 12:21 pm
Makala: Umuhimu wa vituo vya kulea watoto mchana (Day care centers)
Na Mwanahamisi Chikambu, Gregory Milanzi Usipoziba ufa utajenga ukuta, katika makala haya tunaangazia vituo vya kuelelea watoto maarufu kama day care ambapo watoto hujifunza, kula na kucheza pamoja huku wakijengwa katika masuala mbalimbali ya kielimu kulingana na umri wao. Hapa…
18 October 2023, 11:19 am
PEGAO, TAMWA watoa neno kuhusu vyeti bandia
Tatizo la upatikanaji wa vitambulisho pamoja na vyeti bandi (feki) limekuwa ni tatizo sugu ambalo kwa sasa katika visiwa vya Zanzibar ni jambo la kawaida licha ya serikali pamoja na wadau wengine kupiga kelele siku hadi siku kuhusu kupatikana kwa…
14 October 2023, 16:16 pm
Makala: Hali ya chama cha watu wenye ulemavu wa kuona Mtwara
Na Mwanahamisi Chikambu, Mtu asiye na ulemavu wa macho hawezi kuelewa ni namna gani mtu wa namna hiyo anavyoweza kuendesha maisha yake ya kila siku na kuhakikisha familia yake inapata huduma za kila siku. Kumekuwa na vyama mbalimbali ambayo vinaanzishwa…
11 October 2023, 5:28 pm
Ni athari zipi kiafya usipotumia uzazi wa mpango?-Kipindi
Mskilizaji sayansi imeeleza uzazi wa mpango ni njia muhimu ya kukuza afya ya mama na mtoto, uzazi wa mpango ni njia rahisi ya kunyonyesha mtoto hadi kufikia miaka miwili. Licha ya maelekezo hayo ya dini na ya kisayansi bado jamii…
11 October 2023, 12:34
Tani 124.1 za mbaazi zauzwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani
Mfumo wa stakabadhi ghalani umewezesha kuuza mbaazi shilingi 1,710 kwa kilo huku wakulima wakifurahia mfumo huo na kuridhia bei. Na Jackson Machoa/ Morogoro Jumla ya tani 124.1 za zao la mbaazi zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 212 zimeuzwa…
10 October 2023, 5:12 pm
Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi
Amina Masoud Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme. Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke…
6 October 2023, 11:16 am
Wanawake wenye ualbino walalamikia kunyanyapaliwa kwenye mahusiano
Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya wanawake wenye ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa. Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora