Podcasts
14 November 2023, 12:12 pm
Nafasi ya wazazi wakati wa hedhi ya watoto-Kipindi
Kipindi hiki ni maalum kwa wazazi kuwa na utaratibu wakuwapa elimu ya hedhi watoto wao wakati wanapokuwa kwenye hedhi ili kuwalinda na madhara yatokanayo na Afya ya uzazi.
13 November 2023, 3:13 pm
Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi
Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa. Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya…
12 November 2023, 11:16 am
Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.
Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…
7 November 2023, 12:34 pm
Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa . Na Mariam Matundu. Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni…
2 November 2023, 6:17 pm
Jioni Ripoti: Taarifa ya habari ya jioni 02-11-2023 Storm FM Geita
Bonyeza hapa kusikiliza
2 November 2023, 18:00 pm
Makala: Huduma ya mama mjamzito na mtoto mchanga
Na Mwanahamisi Chikambu/ Gregory Millanzi Huduma ya mama na mtoto ina chimbuko lake kulingana na historia, wapo wanaosema binadamu ametokana na sokwe na wengine wanasema binadamu anatokana na binadamu mwenyewe. Karibu katika makala haya ambapo tunaangazia namna mama na mtoto…
1 November 2023, 12:37 pm
Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri shughuli za kilimo-Makala
Mabadiliko ya Tabianchi ni mabadiliko ya hali ya hewa ya muda mrefu katika eneo fulani (Mkoa, Nchi au Bara) tofauti na iliyozoeleka. Mabadiliko hayo huleta athari katika nyanja za kiuchumi, kimazingira na kijamii. Na Alfred Bulahya. Tunapata kusikia kisa cha…
31 October 2023, 12:53 pm
Makala – Sera ya ushiriki wa wazawa wa manispaa ya Lindi kuelekea kunufaik…
Na Musa Mtepa Katika makala haya tunaangazia nafasi ya ushiriki wazawa hasa vijana wa Manispaa ya mkoa wa Lindi kuelekea kunufaika na fursa ujenzi wa kiwanda cha uziduaji na uchakataji wa Gesi cha LNG mkoani Lindi. kusikiliza makala haya Bonyeza…
31 October 2023, 11:43 am
Makala – Vijana wamejiandaaje na Fursa za uwepo wa wa Gesi Mikoa ya Kusini
Na Musa Mtepa Kipindi kinazungumzia uwepo wa shughuli za uzalishaji Gesi katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, je Vijana wamejiandaaje kukabiliana na fursa hiyo. Kupitia kipindi hiki tumezungumza na Victor Kaiza mkufunzi wa chuo cha Elimu ya mafunzo ya…
28 October 2023, 13:56 pm
Makala – Matumizi ya mkaa wa karatasi
Na Musa Mtepa; Makala haya yanaeleza namna ambavyo kikundi hiki kimeamua kujikita katika kuandaaa mkaa unaotokana na mabox pamoja na karatasi. Katika makala haya utawasikia wanakikundi cha Tumalane, Utamaduni na Mazingira maarufu kama TUMA kinachopatikana katika kijiji cha Msangamkuu halmashauri…