Podcasts
July 4, 2023, 3:02 pm
Unafahamu kuhusu ugonjwa wa fistula?
Kipindi cha afya ya uzazi kinachorushwa Kahama Fm kila jumapili kuanzia saa 4 hadi saa 5 asubuhi.
4 July 2023, 3:00 pm
Mwezi wa Afya na Lishe
Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe. Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa…
4 July 2023, 2:54 pm
Je mfumo dume unawanyima wanawake nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya habari?
Na Groly Kusaga Wanawake wengi wamekuwa wakikutana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika kutekeleza majukumu yao na kusahau kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya mambo makubwa wanapopewa nafasi ndani ya vyombo vya habari na uongozi kwa ujumla.
July 4, 2023, 2:54 pm
Matundu ya vyoo shule za msingi wilayani Ngara ni kitendawili
4 July 2023, 2:51 pm
Kipindi cha maisha ni afya
Sikiliza kipindi cha maisha ni Afya kuhusu uboreshaji wa kitengo cha mama,baba na mtoto kutoka Hospital Teule ya Wilaya ya Sengerema SDDH.
July 4, 2023, 2:51 pm
Madiwani manispaa ya Kahama waiomba halmashauri kutenga bajeti ya barabara
Madiwani wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri kutenga bajeti ambayo itasaidia kurekekebisha miundombinu ya barabara zilizopo katika kata ili kupunguza changamoto hiyo kwa wananchi.
4 July 2023, 2:49 pm
Makala: Unafahamu taratibu za kufuata kisheria unapomdai mtu?
Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu taratibu za kufuata kisheria pindi unapomdai mtu. Sambamba na hilo Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi…
4 July 2023, 2:28 pm
Aoza pua baada ya kupondwa na kokoto
Na Amos Inega Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha…
4 July 2023, 2:27 pm
Wanawake mkoani Mara watakiwa kuzingatia muda kujiletea maendeleo
Na Adelinus Banenwa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapeleka wanawake viongozi kupata mafunzo nchini China.
4 July 2023, 2:27 pm