Nuru FM

kijamii

6 May 2025, 5:12 pm

Chama cha wauguzi Bukombe chatoa ombi kwa serikali

Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani, wauguzi wilaya ya Bukombe waadhimisha siku hiyo Mei 03, 2025. Na: Edga Rwenduru: Chama cha wauguzi Tanzania (TANA) wilaya ya Bukombe mkoani Geita kimeiomba serikali kuwatatulia changamoto ya uhaba wa nyumba za…

April 26, 2025, 9:26 am

Kocha Matano amlipua kipa mechi na Yanga

Baada ya fountain gate kufungwa magoli manne bila na Young African kocha mkuu wa club hiyo amesema hatompanga kwenye kikosi chake golikipa wake John Nobo Na Mbaraka Sungi Hii ni ripoti ya kamati ya michezo kupitia Smile FM 95.3 na…

April 24, 2025, 10:16 am

Milioni 5.3 kukarabati kituo cha afya Engorora

Halmashauri ya Arusha imetenga kiasi cha shilingi milioni 5.3 kwa ajili ya ukarabati wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Engorora ambalo limekuwa likikabiliwa na nyufa kwa muda mrefu hali inayosababisha kituo hicho kutotoa huduma za usiku kutokana na wahudumu…

April 23, 2025, 1:56 pm

Wafugaji waonywa matumizi ya ARV kwa mifugo

Kuelekea kilele cha siku ya maadhimisho ya kitaifa ya utoaji wa huduma za afya ya wanyama ambayo itafanyika April 26 mwaka huu,wadau  na  wafugaji wametakiwa kuacha tabia za kutumia dawa za ARV ili kunenepesha mifugo Na Mzidalifa Saidi. Akizungumza leo …

April 23, 2025, 10:28 am

Wakulima nchini watakiwa kupima afya ya udongo

Wakulima wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima afya ya udongo kabla msimu wa kilimo kuanza Na.Revocutus Andrew Wakulima nchini wametakiwa kupima afya ya udongo pamoja na kulima  kilimo asilia. Hayo yamezungumzwa Leo  na  Bensoni Mturi afisa Teknolonjia za kilimo kutoka…