Nuru FM

kijamii

23 April 2021, 1:08 pm

Mabomu ya machozi yalindima

Jeshi la polisi mkoani Iringa limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva wa bajaji walikuwa wakishinikiza kuachiwa huru baadhi ya madereva waliokamatwa wakati wa mkutano baina yao na mkuu wa wilaya Richard Kasesela Wakati wa mkutano huo uliolenga kupata ufafanuzi…

16 April 2021, 7:35 am

Watoto wa mitaani waiomba serikali iwapatie bima za afya

Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwakatia bima za afya zitakazo wawezesha kupata huduma pindi wanapokutana na changamoto za kiafya. Wakizungumza na nuru fm baadhi ya watoto hao wamesema kuwa ni vyema serikali ikawakatia bima…

15 February 2021, 12:41 pm

Nurufm washerehekea sikukuu ya wapendao

Wafanyakazi wa Kituo cha Redio NURU FM kilichopo Manispaa ya Iringa wamesherehekea sikukuu ya Wapendao kwa kutembelea kituo cha Huruma Center ambacho kinalelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza mara baada ya kutembelea Kituo hiko Afisa Utawala wa…

11 February 2021, 1:54 pm

Ubovu wa miundombinu

Madereva Bajaji manispaa ya iringa wamelalamika ubovu wa miundombinu ya barabara hasa katika kipindi hiki cha mvua jambo linasosababisha vyombo vyao kuharibika.Hapa nakutana na Madereva hao wa Pikipiki za Matairi matatu maarufu kwa jina la Bajaji, wanazungumza jinsi ubovu wa…

11 January 2021, 7:45 am

wazazi wajibikeni katika malezi

Wazazi na walezi mkoani iringa wametakiwa kushiriki vyema katika malezi na matunzo ya mtoto lengo likiwa ni kumstawisha mtoto katika hali ya maadili Akizungumza na Nuru fm katibu tawala mkoa wa iringa Happiness seneda amesema kuwa anayo majukumu ya kimkoa…

7 December 2020, 5:14 pm

Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili

Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi…